Search results

  1. M

    Bado sijapata mke mwenye kuhitaji mume

    Mke mwema hutoka kwa Mungu fanya Sana maombi utajibiwa tu.
  2. M

    No Money, No job in Acacia Gold Mine

    Rushwa ni Adui wa haki na ni dhambi kubwa sana acheni mchezo huo tafadhali.
  3. M

    Ujinga unakaribia kufika mwisho

    Kila kilicho na mwanzo hakikosi kuwa na mwisho wake kikubwa ni kutokukata tamaa katika maisha.
  4. M

    2/3 ya CUF yapatikana Bunge la Katiba, kweli CCM kiboko yao

    Kwa JINSI niwajuwavyo cuf Si Watu wa kurubuniwa ovyo ovyo na ikitokea aka tokea msaliti huwenda akahama na Huko anakoishi ili awe mkimbizi kwingineko maana wale Watu wanajitambua Kweli na haki zap.na cam kulazimisha mambo na kutaka kununua watu kutatuletea majanga makubwa nchi hii hadi vizazi...
  5. M

    Naombeni ushauri wana jf

    Ila kwa kusema ukweli hujakosea gest inalipa Sana ila inategemeana na eneo na mandari ya gest Yako na pia usimamizi wake ukoje?
  6. M

    Naombeni ushauri wana jf

    Wazo la kuweka kitega uchumi ni la maana sana ila sijajuwa hiyo Nyumba Yako umeijenga wapi?
  7. M

    Naomba kueleweshwa mwenye kulijua zaidi hili

    Nakushauri usome kwanza vizuri ili uwe na uwanja mkubwa zaidi wa Ajira maana ukishakuwa na elimu nzuri unakuwa na uhakika na kazi zitakuwa ni za kuchagua mwenyewe na hasa ukizingatitia kwa sasa pengine hujawa na majukumu mengi Kama sisi .
  8. M

    Kesi ya rasimu ya katiba kutinga mahakama ya rufani Tanzania

    Pamoja na jitihada zoote hizo Lazima rasimu hii tuikatae kwa nguvu zetu zoote hata Kama fedha zetu zimeliwa bure Lkn ni bora kuliko dharau hii ya halinya juu iliyoonyeshwa na Mr.7 na pia namshangaa Sana Yule bana wa kujificha kwa unafiki mkubwa aliounyezha na kamati yake ya uongozi japonyana...
  9. M

    Naomba mke wangu asije pata idea ya kuja Jamiiforums

    Mtu alelewavyo ndivyo akuavyo mkuu kama wewe uko humu kundini na unafurahia Sana kuwemo ila hupendi make wako awemo maana yake na wewe hauko sehemu Sahihi hivyo badilika kwanza wewe maana wewe ndo kichwa cha nyumba.
  10. M

    CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

    Jambo litazuwa jambo kesho magamba watatia adabu hadi kieleweke.
  11. M

    Jeshi la polisi Dodoma lazuia maandamano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika leo Septemba 18

    Katiba ya nchi haisemi Kama Kibali cha maandamano kitolewe na police huo ni umbumbumbu mkubwa wa sheria.police wanatakiwa kupewa taharifa tu ili waimarishe na Si vinginevyo.amka mtanzania.
  12. M

    Vichwa vya habari magazeti ya kesho, shiriki hapa

    Aluta continue sasa ndo kumekucha jeshi la police kwa kutotumia Akili lampandisha chart freeman Mbowe ili Mwakani cam ianguke kifo cha Mende ha ha haaaaaa.
  13. M

    picha ya siku

    Wengine hushangaa kuona hizi mbona ni nyesi tofauti Sana na zetu?
  14. M

    Naomba ushauri

    Hiyo hela sio ndogo na wala siyo nyingi sana cha msingi Kama hujajuwa nini chakuifanyia tafuta watalam wa ujasilia Mali wakupe makati JINSI ya kuitumia hiyo hadi ikitoe kimaisha.kikubwa ni nichamu tu juu ya matumizi ya hela.
  15. M

    Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

    Uko wapi Uhuru wa habari nchi hii Jamani?
  16. M

    Mwenyekiti Freeman Mbowe atazungumza na makamanda Makao Makuu ya Chama hivi punde

    Hii ni dalili tosha kwamba sasa Mwakani hapatatosha hadi Uhuru kamili waTanganyika upatikane.
  17. M

    Mshahara wa Tsh. 700'000/=, Dar es Salaam

    Maisha duni unataja vitu visivyo vya Lazima Kama hela za , pombe,vocha za mademu zoote hiyo za nini tema?
  18. M

    Wassira: Nisingekuwa 'msafi' UKAWA wangenimaliza

    Mmesahau kwamba baada ya kutiwa Aliamriwa kutokushiriki uchaguzi kwa kipindi kisichopungua miaka mitano?
  19. M

    Mwanafunzi aamua kujinyonga kwa kukosa huduma hospitalini

    Kusema ukweli GVT hospital ni majanga matupu bila Shaka nchi hii inahitaji mageuzi ya Hali ya juu Sana.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na waliosababisa kifo chake walaaniwe.
  20. M

    Viongozi wakuu wote kutoka Kaskazini ni sawa?

    Hiyo ni Akili mgando angalieni historia mmesahau kwamba kilishaongozwa na hata wasukuma? sio kuleta Mawazo ya ukabila na Ukanda ni Simu mbaya Sana .napa ni kuangalia uwezo wa mtu tu basi .
Back
Top Bottom