Search results

  1. A

    UDSM yaongozwa na Mstaafu

    Maelezo mazuri.
  2. A

    Mpango wa kumng'oa Dr. Ndalichako

    Dr Ndalichako ni mwalimu wangu amenifundisha ni mtaalamu aliyebobea hasa katika maeneo ya upimaji na tathimini ya mitihani. Wanaomlaumu wanalao jambo. Kazi ya NECTA ni kupima uwezo wa wanafunzi katika maarifa waliyojifunza/waliyofunzwa huko mashuleni ambayo yanasimamiwa na wizara ya elimu ambapo...
  3. A

    Mpenzi wangu hataki tu Do toka tukutane,NIMWACHE?

    Acha kutenda thambi wewe!subiri ndoa
  4. A

    SBT sio matapeli?

    usinunue gari kwao, Nunua gari Japanese Used Cars | BE FORWARD Hawajamaa ni wazuri mi nimeshanunua magari manne toka kwao na wako fast. Hao siwaamini kabisa
  5. A

    Madawa ya Kulevya Tanzania: Serikali imeshindwa, tufanyeje?

    WanaJF nauliza mbona viongozi wetu wa vyama vya upinzani kama CUF, CDM, NCCR nk wamenyamaza kabisa kuhusu hili la madawa ya kulivya?Je nao wanafaidika nalo? Ukimya wao umenishutia! Nauliza tu!Kwanini isiwe ajenda yao 2015?
  6. A

    Madawa ya Kulevya Tanzania: Serikali imeshindwa, tufanyeje?

    Asubuhi nikiamka na kuelekea kazini kwangu maeneo ya Sinza nawakuta vijana wenye umri mdogo pembezoni mwa barabara, lakini sura zao zinaonyesha wamezeeka kwa sababu ya madawa ya kulevya. Muda huo wa asubuhi unakuta wameshapata madawa na wamelewa ukipaki gari wanawahi kuomba kuliosha ili wapate...
  7. A

    Je, Hili si Tamko tata kwa RC Mwanza?

    Yupo sahihi kabisa. maana si kila kitu kiwe kwenye katiba, mambo mengine yanahitaji busara tu.
  8. A

    Nataka suzuki escudo, naomba kujua uzuri wake na bei zake show room!

    Nawasiliana na huko TZ wanitumie picha nita wawekea.
  9. A

    Nataka suzuki escudo, naomba kujua uzuri wake na bei zake show room!

    Ninayo ninaiuza. Ipo safi, unaweza kuja kuiona kabla ya kuja nenda show room uone bei. Sabau ya kuiuza haitumiki vyema kwa sasa maana sipo TZ. Tangu nimeinunua toka japan almost 3 yrs ago sijjawahi kubadilisha spea ispokuwa oil filter a brak pads mara moja.
  10. A

    Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

    Some people you need to open their skull and examine if whatis inside their skull is brain or watermelon
  11. A

    Gay Men Caught in the Act During Saudi Hotel Sting...

    Your crazy, to be a gay or lesbian is the learned behaviour. No one is born gay or lesbian by god creation. There is no genetical prove. Your arguments are used by despirate people to rationalize this barbaric behaviour.
  12. A

    Dr. Kitila Mkumbo tunakutaka Iramba Magharibi!

    Mimi nawafahamu hao watani zangu wa Kinyaramba na Wanyaturu. Kawaida yao wanachagua mwenye hela na cheo. Kwa mazingira ya sasa ni kazi ngumu sana Kitila Kumshinda Mwigulu maana Dr kitla hana hela na cheo kama cha Mwigulu. Kumbuka kuwa Mwigulu sasa hivi atajipanga kushinda jimbo atatumia hela za...
  13. A

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    Mwambie mkeo kuwa uampango wa kumfanya shoga yake mke mweza, akupe ushauri
  14. A

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Zito hongera umeonyesha ukomavu wa kisiasa. Mimi nakuamini unaweza, na unafanya siasa makini kwa mazingira ya Tanzania. Kila hoja uliyogusa ilileta hisia ya uzalendo kwa taifa letu. Mimi huwa naamini wewe kuwa miongoni mwa wabunge makini. Udhaifu wa binadamu upo, lakini hauwezi kuondoa mazuri yote.
  15. A

    CCM- Inahitaji Naibu Katibu mkuu Mwingine

    Salamu zangu za mwisho wa mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 kwa CCM ni kuhusu nafasi ya naibu katibu mkuu wake Mwigulu Chemba. CCM inahitaji kumtafuta mtu makini mwenye uwezo wa kujenga chama na kufahamu taifa linataka nini kuelekea mwaka 2015. Rafiki yangu Mwigulu ni Janga Ndani ya CCM na...
  16. A

    THE THREAT OF ISLAMISM IN SUB-SAHARAN AFRICA: The Case of Tanzania

    Iread the article it is very infuriating as it lacks discourse of intellectualscholarship. The author did selective biasness in favor of his person prejudicesagainst Islam
  17. A

    THE THREAT OF ISLAMISM IN SUB-SAHARAN AFRICA: The Case of Tanzania

    E-NotesTHE THREAT OF ISLAMISM IN SUB-SAHARAN AFRICA: The Case of TanzaniaBy Harvey Glickman April 2011 Harvey Glickman is Professor Emeritus of Political Science at Haverford College and Senior Fellow at the Foreign Policy Research Institute. He is currently researching Islamism throughout...
  18. A

    THE THREAT OF ISLAMISM IN SUB-SAHARAN AFRICA: The Case of Tanzania

    Nimeisoma hii article, sijui kama huu utafiti una ukweli.Unaweza kusoma kwa ajili ya kuongeza maarifa. E-Notes: The Threat Of Islamism In Sub-Saharan Africa: The Case of Tanzania - FPRI
  19. A

    Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    Gusepe, it is one of the worse addiction which is very difficult to cure! It sometimes force young boys to be gay or girls to lesbian. The link below is more educative.:target: Pornography's Effects on Adult and Child
Back
Top Bottom