jamaa amejitahidi na kama livyosema bado ipo marekebishoni........ataweka na kiswahili pia, shake of the haters............
kizungu sawa hakina mtiririko mzuri na hakivutii kusoma kinaboa kidogo maana, 'I' ni nyingi mno hana mtirirko mzuri wa kusimulia lakini alichoeleza hivyo hivyo tumuelewa...
Joyce nakuunga mkono
umbeya tu ukishajua itakusaidia nini?kasome katiba ya nchi uijue vizuri itakusaidia kujua kama wenzako jana arusha wameonewa au wana haki
jina tu linatosha kusema jamaa aliyelipua bomu sio mtz, huyo police commisoner wa kenya anatakiwa kutoa vigezo vingine kuthibitisha ni mtz.
asijifanye ajui kuwa huko Kenya maofisa wao pia wanauza passport kwa wa somali na wahindi...kenya kunanuka rushwa pia,ila kwa vile kenya na Tanzania ni...
ask her who is keeping you busy, ama mtest kwa kumwambia i can see you are busy with the phone ngoja nikuache ukimaliza niambie.halafu uone ata react vipi. ukiona bado yuko busy na simu basi kuna mtu anamwmabia vitu vya KUMFURAHISHA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.