Search results

  1. M

    Newala, Mtwara: Tani 68 za Korosho zarudishwa kwa Wakulima zikidaiwa hazina ubora

    Hao watu wa tanecu na mameneja wa ghala mumewauliza sababu ya kukataliwa? Kwenye maghala makuu watu wa amcos wanashirikishwa kwenye vipimo vyote na wanajua zikiwa hazina ubora wanashiriki na kujua tatizo mini.
  2. M

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Mkuu umeandika vizuri sana na nimesoma kwa imani ya kupata baadhi ya maswali ambayo ndio ya msingi sana,kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. 1- RC alisoma certificate kwa qualification gani? 2- RC ndiye Bashite? na kama kweli ndiye yeye sio lazima aseme sababu za kiapo cha kubadili jina, lakini...
  3. M

    Mwalimu Nyerere pia alikuwa na vyeti vyenye majina tofauti

    Mtuhumiwa ni mtu anaitwa Daudi Albert Bashite. Hakuna aliyeuza cheti ila Bashite anadaiwa alitumia cheti cha Paul Christian Malanja ili apate qualification za kuingia chuo cha Mbegani ,kwa msaada wa dada Crispina Mgera Malanja bila mwenye cheti kujua. hizo ni tuhuma ambazo zinatakiwa kujibiwa...
  4. M

    Mwalimu Nyerere pia alikuwa na vyeti vyenye majina tofauti

    hili ndio tatizo, anayetuhumiwa hajasema chochote mnaanza kutoa mifano juu ya mifano. tusubiri akanushe au aseme chochote ndio tunaomtetea tukae nyuma ya hoja zake.
  5. M

    Kiongozi wa majambazi wanaovamia mabenki ni huyu?

    Kukamatwa sawa, ila tusihukumu mpaka upelelezi ukamilike. kwani hatuna uzoefu na hizi kesi?baadae utaambiwa siye.
  6. M

    DC Makonda Usisahau Pia Kutoa Copy Nyingi Za Barua Za Dhamana Police!

    Udharirishwaji sio lazima mtu akuvue nguo, hata hiki kitendo cha DC ni udharirishaji. Yaani vitambulisho vya hao walimu viende akavisaini yeye halafu lazima wavivae katika muda uliotakiwa usumbufu wote huo ni wasilipe nauri tu!!! Kwanini asiwape posho za nauli kama anataka kuonekana kuliko...
  7. M

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Hakuna mtu anayemtetea mtu ila tunajaribu kutumia akili zetu kufikiria,sio kushabikia kila kitu. mtu anashindwa kusoma maelezo akayaelewa anasoma stori ya watu tisa iliyowekwa kama mfano wa jinsi mleta uzi anavyotunga stori isiyoingia akilini. Nadhani ni utoto zaidi kushabikia stori za kutunga.
  8. M

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Inashangaza sana huwa tunashabikia vitu bila kufikiri pande zote mbili (uwezekano wa ukweli au uongo) nini uhusiano wa mleta uzi kwa sasa na Oil com ? hatudhani kwamba kuna conflict na ndio maana anawashamburia? hebu na mimi nijalibu kuweka uzoefu wangu kidogo hapa tupime au kujadili kwa hoja...
  9. M

    Kubenea aibua Ufisadi wa Billion 1.2

    Kwa hiyo hata wewe hapa mtu akikupinga au kukushutumu ni dhambi kukubaliana na wewe tena kwa lolote??
  10. M

    Kilichojiri Tanga hiki hapa

    Hapa ndio naelewa tafiti ya TWAWEZA, wafuasi wa CCM wengi elimu ndogo au hawana elimu kabisa. pole sana.
  11. M

    Hela ya Richmond inalipia kampeni za UKAWA??

    Hebu jielimishe kwanza kuhusu RICHMOND halafu uje. Acha kudandia vitu usivyovijua vizuri.
  12. M

    Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

    Mugisher Mbona hueleweki mkuu, umesema hajashinda kesi basi usimpelekee kesi yako peleka kwa wengine Msomi kwako ni yupi? mtu mwenye msimamo kwako ni yupi? nimetafuta neno zuri lisiwe tusi nadhani kutoeleweka ni sahihi. Unless unataka ushabiki au chuki binafsi na Tundi Lisu.
  13. M

    Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    kwa hiyo!!?
  14. M

    Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

    kAZI MOJAWAPO YA MBUNGE NI KUIKOSOA SERIKALI HAIJALISHI NI YA CHAMA CHAKE AU LAA.
  15. M

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    1-Dr Slaa alimtaja Gwajima kwamba amesema maaskofu wamehongwa, ulitaka hilo asilijibu? Amjibu kwamba sio kweli. 2-Slaa alisema sababu ya yeye kuondoka ni ujio wa Lowasa na Gwajima akiwa mchenga, hilo amejibu Sababu ni hawara wa slaa alimwambia asirudi chadema. tutaamini vipi maneno ya...
  16. M

    Yaliyojiri uwanja wa Tangamano, Tanga: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli

    Hebu tuzane kwa wanaojua sheria za uchaguzi, Dr Magufuli akiwa Tanga kwenye kampeni, aliagiza akisema kama waziri wa ujenzi. kuanzia sasa wazee na wanafunzi wenye sare wasilipe yaani wavuke bure. Je hiyo sio rushwa? au imekaaje kisheria.
  17. M

    Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    Aliyekwambia ni meseji ya kutengeneza kwa nini asikushauri cha kufanya?
  18. M

    Siyo Suala la Chuki Dhidi ya EL, ni Suala la Tofauti #AlipoHatupoTulipoHayupo!

    Japo husemi tumchague nani, lakini kwanini usitumie the same maandiko kuelezea mazuri ya unayemuunga mkono? Rais atapatikana kwa wingi wa kura na sio vinginevyo. I think mnampaisha Lowasa.
  19. M

    Wanazuoni wasikitishwa na sera za mgombea urais

    makitoro Na hiyo breaking news imekujaje!!!!? Great thinkers wengine nanyi.
  20. M

    Waraka kwa Dr. Slaa!

    Kuna sehemu nilimsoma kwamba yumo humu JF na facebook, I am sure atausoma waraka mzuri. Atulie tu aheshimiwe.
Back
Top Bottom