Search results

  1. S

    Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    CHAHALI USIPOTOSHE, DKT. KIPILIMBA HAJAWAHI KUWA CHAGUO LA MEMBE KWA JPM Nimesoma tweet ya aliyekuwa Ofisa wa TISS kuhusu anazoita njama za kumhujumu JPM zinazoratibiwa na Membe kwa ushirikiano mkubwa kutoka kwa DGIS Dkt. Kipilimba. Chahali anatupasha habari kwamba ni Membe aliyempeleka Dkt...
  2. S

    TRA yadhamiria kuzuia piracy kazi za wasanii kwa kukamata Cds feki.

    Kamishna wa kodi za ndani wa TRA,Ndg.Elijah Mwandumbya aamua kupigania maslahi ya wasanii wa taifa kwa ujumla kwa kuzuia ulanguzi wa kazi za wasanii unaopelekea serikali kupoteza mapato kwa maslahi ya maendeleo ya taifa. Fungua link:
  3. S

    Serikali imulikeni TDL na TBL, wasambazaji wazawa wanaonewa sana

    SERIKALI IMULIKENI TDL NA TBL.WASAMBAZAJI WAZAWA WANAONEWA SANA. Tumekuwa tukishuhudia namna serikali yetu pendwa ya awamu ya tano chini ya Rais wetu mpendwa Dk.John Pombe Magufuli inavyojitahidi kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wazawa ila juhudi zake zinakwamishwa na wawekezaji...
  4. S

    Membe atuma salamu za rambirambi kwa familia ya Samweli John Sitta.

    Mama Margaret Sitta, Mimi na familia yangu napenda kuungana na mamilioni ya Watanzania kutoa salamu za pole kwa msiba Mkubwa uliolikumba Taifa. Wote tutamkumbuka Marehemu Mzee Sitta kwa Moyo wake wa kuchapa kazi kwa kasi na viwango Serikalini na Bungeni. Atakumbukwa kwa Uongozi uliotukuka...
  5. S

    RC Makonda hakukata tamaa kwenye safari yake ya mafanikio

    Siku zote Makonda ameeleza kwenye vituo vya Redio na TV kuwa yeye ni mtoto wa masikini na hata wazazi wake ni masikini ila hakukubali umasikini huo ufifishe ndoto yake na ndiyo maana anafanya kazi kwa bidii na kujituma huku akiwapigania wanyonge na masikini. Katika muda mfupi wa utumishi wake...
  6. S

    Matapeli watumia jina la RC Makonda kutapeli

    MATAPELI WATUMIKA KUMCHAFUA RC MAKONDA. Kumekuwa na screenshot inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye picha na ujumbe unaoonesha kuwa RC Paul Makonda amefungua "Financial Institution" inayotoa mikopo kwa wananchi wa mkoa wa Dar es salaam. Tunapenda kutoa angalizo kwa wananchi wote kutoka...
  7. S

    TANZIA: Waziri Membe amefiwa na kaka yake mkubwa

    Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa na mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi anayemaliza muda wake Mh.Bernard Kamillius Membe amefiwa na kaka yake kipenzi ndugu Simon Kamillius Membe kilichotokea leo asubuhi nchini India. Msiba upo mkoani Lindi kijijini Rondo kilichopo jimbo la...
  8. S

    Magufuli and the Future of Opposition Parties

    With the nomination of John Magufuli as its presidential candidate, the ruling party in Tanzania – CCM – has resolved the ‘Lowassa Question.' So it seemed near the end of July. Its committee responsible for ethics managed to ‘blot out' Edward Lowassa's name when it...
  9. S

    Friends Of Membe wamjibu Zitto Kabwe

    Mkopo wa Libya ulitolewa kwa kampuni binafsi na kwa makubaliano binafsi baada ya makubaliano na serikali ya Libya kama sehemu ya debt swap agreement baina ya serikali yetu na serikali ya Libya. Hiyo kampuni binafsi ya Meis ambayo Membe siyo mkurugenzi wala mmiliki walikuwa wamepanga kuwekeza...
  10. S

    Waziri Membe kuzungumza na waandishi wa habari leo saa 5 asubuhi ukumbi wa Mwl.Nyerere

    Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Tanzania Mh.Bernard Kamillius Membe anategemewa kuzungumza na waandishi wa habari pamoja na watu wengine leo saa 5 asubuhi juu ya masuala mbalimbali yanayohusu wizara anayoiongoza pamoja na matatizo yanayoendelea nchini Afrika Kusini. Wizara ya mambo ya...
  11. S

    Hii ndio hotuba ya Waziri Membe leo jijini Arusha mbele ya vijana wa China na Afrika.

    ADDRESS BY HON. BERNARD K. MEMBE, MINISTER FOR FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION OF THE UNITED RUPUBLIC OF TANZANIA AT THE 3RD AFRICA-CHINA YOUTH LEADERS' FORUM IN ARUSHA 27TH MARCH, 2015 Mr. Zhou Chang Kui, Secretary of CPC Youth League, Mr. Wang He Ming, Deputy...
  12. S

    4U Movement wamtumia mmoja wa wanasheria wa Manispaa ya Moshi kuratibu kazi zao.

    Hii ni ishara kwamba nchi yetu bado baadhi ya watumishi wa serikali hawaheshimu miiko na sheria au taratibu za kazi.Hii imetokea mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi ambapo mmoja wa wanasheria wa manispaa hiyo aitwaye Sylivia Shayo ndiye aliyepewa kazi na kundi la Lowassa kuratibu 4U...
  13. S

    Mkakati wa Lowassa wavuja.Aamua kutumia mamilioni akitangaza nia

    Kuna habari kwamba EL amepanga kutangaza nia tarehe 28 mwezi huu Sheikh Amri Abeid Arusha na anaalika wajumbe kutoka kila sehemu Tanzania ili aujaze uwanja. Atasindikizwa na pikipiki 1000 na wajumbe watakaokwenda kushuhudia watalipwa kati ya laki 2 na 7 kutegemeana na uzito wa wajumbe. Wako...
  14. S

    Tuijadili kauli bora 2015 kutoka kwa kiongozi bora Bernard Kamillius Membe

    "Nimezungumzia uhusiano kati ya Serikali na Dini. Nimesema kuwa vitu hivi viwili havitenganishiki, ni sura mbili za sarafu. Kwa sababu, binadamu ni mwili na roho na kila kimoja hakina budi kuendelezwa. Serikali inashughulika na miili na akili, Dini zinashughulika na roho. Dini na Serikali...
  15. S

    Mtanzania yamwangukia Membe.

    Gazeti la Mtanzania mali ya kampuni ya New Habari Cooperation yamwangukia Membe na kusahihisha kile walichoandika kuwa Membe amsafisha Maswi. Mtanzania yakiri makosa,kuwa ile kauli haikutolewa na Membe.Bali walimnukuu vibaya na kuona umuhimu kumwangukia na kuomba msamaha kwake.Wakiri Membe ni...
  16. S

    Waziri Membe mgeni rasmi tamasha la Wasabato leo Uwanja wa Taifa

    Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Kamillius Membe(Mb) leo hii atakuwa mgeni rasmi katika tamasha la wasabato litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa.Muda ni mchana wa leo.Yeye atawasili saa 9 mchana huu.Wote mnakaribishwa katika tukio hili muhimu la...
  17. S

    Mbunge Jafo ampongeza Waziri Membe kwa usimamizi wa diplomasia leo ndani ya bunge.

    "Nampongeza Membe kwa kazi kubwa sana Tanzania huko nje tunaheshimika katika medani za Kimataifa....heshima hiyo imezidi kujengwa na Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe".Mh.Jafo
  18. S

    Prof. Palamagamba Kabudi amsifu Waziri Membe, afurahia urafiki naye

    "....the good friend of mine Bernard Kamilius Membe....." - Prof. Palamagamba Kabudi Udsm lecture at Yombo 3 around 9am to 10am today. Akiwa katika mhadhara leo Chuo Kikuu Dar es salaam, Mhadhiri nguli wa sheria na aliyewahi kuwa Mkuu wa shule ya sheria UDSM na Mjumbe Maalum wa Bunge la Katiba...
  19. S

    Waziri Membe asifia uteuzi wa Mama Kilango.Asema ni mwanamke jasiri.

    Waziri Membe ammwagia sifa Mama Kilango. Asema, "Kilango ni jasiri, ni mtu anayejituma na ni mtu anayejali watu. Katika kipindi cha mwaka huu wa uchaguzi, Kilango atasaidia sana kuangalia maslahi ya walimu na matatizo ya Wanafunzi. Atatembea nchi nzima kuangalia hali ya Elimu na kurekebisha...
  20. S

    Tanzania's foreign minister trip to Russia is successful

    Today the governments of Tanzania and Russia have jointly agreed to speed up the process of establishing Tanzanian - Russian Intergovernmental Commission on Trade, Investment and Economic Cooperation to be signed during the first quarter of 2015. This was announced during the meeting between...
Back
Top Bottom