Search results

  1. kitco255

    Ajali ya Mh Regia - tuna tatizo

    Ajali kama hii iliyokatisha maisha ya Regia Mtema, si mpango wa Mungu. Ni dhambi kubwa kusema kwamba huu ni mpango wa Mungu. Kama barabara ya kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro, ingekuwa ni ya njia nne, ajali kama hii ya Regia Mtema na nyingine nyingi zinazotokea kila wakati kwenye barabara hii...
  2. kitco255

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    Pengine unabidi ujiulize kwa nini CDM hawajibu baadhi ya hoja za baadhi ya wanaCCM. Mimi ninafikiria kisiasa zaidi badala ya watu kuwa kwenye payroll za watu. ninamanisha ni mtaji wa kisiasa, kwani kuna baadhi ya watu wakipishwa kugombea Uraisi itakuwa rahisi kwa vyama vingeni kupata kura nyingi...
  3. kitco255

    Hospitali ya Muhimbili yapata Mkurugenzi Mpya...Dr. Njelekela

    Mimi ninafikiri kwa CV yake niliyoiona, uwezo wa kuongoza anao. Nafikiri kama aweza kuongoza baadhi ya tasisi kwa mafanikio basi ni vizuri tumpe muda wa kufanya kazi na kuona kama ataweza kutatua matatizo sugu yanayoikabili Muhimbili ambayo kila mtu anayajua na hayahitaji miujiza. Cha msingi...
  4. kitco255

    Mwanamke mwenye watoto wawili nani atakutaka!

    Nafikiri kila ndoa ina mambo yake mazuri na mabaya. Ndoa moja si sawa na nyingine, cha msingi ni kuelewa udhaifu wa mwenzio na kuufanyia kazi. Kihistoria wanadoa wametoka sehemu mbili tofauti, malezi tofauti, hivyo wanapokuwa pamoja ni muhimu kumuelewa mwenzi wako na kujifunza zaidi , kumbuka...
Back
Top Bottom