Search results

  1. Jameel2013

    Elimu ni muhimu kuliko kitu chochote katika maisha ya binaadam(hasa watu maskini)

    *Mo Scholars Program* The Mo Dewji Foundation is calling all first-year undergraduate students to apply for a fully-funded scholarship scheme. Students must be accepted to the University of Dar Es Salaam (UDSM) or Sokoine University of Agriculture (SUA). [emoji830] _Costs Covered:_ Tuition...
  2. Jameel2013

    Pongezi kwa Serikali kulifufua shirika letu la ndege Air Tanzania (ATCL)

    Napenda kuipongeza Serikali yetu kwa kulifufua shirika letu la ndege kwani imefanya jambo la busara ,kwani utakuwapo usafiri wa uhakika wa ndege wa safari za ndani na waharaka zaidi kwani utaongeza TIJA katika uchumi wetu wa watu binafsi Na Serikali . Litakuwa limeongeza AJIRA Pia kwa namna...
  3. Jameel2013

    Elimu ya bure kuhusu BOMBARDIER

    Tujifunzi kitu kuhusu aina ya za ndege wanazo tegeneza kampuni ya Bombardier Na changa Moto zake . Bombardier ni aina ya ndege zinazo tengenezwa NCHINI Canada Na wana series zifatazo Mid passengers flight Na aina hii ndio zinauzwa kwa wingi sn kuliko Nimejaribu kufupisha ili tuelew
  4. Jameel2013

    Watanzania tujifunze kupenda kwetu hasa (civil servant)

    Nimelitazama swala hili kwa upana wake ni tatizo kwa kweli hasa nikiliangalia swala la kuhamia Dom wafanya kazi wengi wamepata kigugumizi kwa kweli. Sababu moja kila Mtu anakuja D'salaam nakufanya makaxi yake ya kudum na kujenga DSM na kusahau alipo toka kabisa (Nyumba) Ndio inakuwa taabu...
  5. Jameel2013

    Nauza laptop

    Aina COMPAQ Memory RAM 4GB HD 300GB Processor dual core Ni karib mpya nilikuwa Na itumia kweny shughul zangu sasa naondoka kurud Uk
Back
Top Bottom