Search results

  1. M

    Prof. Maghembe apokea mabilionea wa dunia Serengeti

    Kuna bodi ya utalii na kuna watu wanalipwa kwa kazi hiyo.
  2. M

    Prof. Lipumba awavua uanachama wabunge 8 wa viti maalum na Madiwani Wawili

    Lipumba anatumiwa na chama cha mafisadi kuhujumu upinzani.
  3. M

    Mshale wa Helen Kejo Bisimba kwa Magufuli

    Wapinzani wanapaswa kuwapa wananchi elimu ili ccm wasiendelee kuwadanganya. Dr. Hellen Bisimba amesema ukweli.
  4. M

    Prof. Maghembe apokea mabilionea wa dunia Serengeti

    Waziri anachezea pesa eti ameenda kupokea watalii! ndio kazi ya waziri hiyo? Hao mabilionea wanafanya ziara ya kiserikali au binafsi?
  5. M

    Hivi WanaCCM wanatoka wapi?

    Wanamuunga mkono wanafanya hivyo kwa maslahi lakini wakirudi majumbani mwao wanacheka. Bila unafsi mambo hayaendi kwa baadhi ya watu.
  6. M

    Pendekezo; Muungano wa ligi Tanzania bara na Tanzania Zanzibar

    Tanzania bara na Zanzibar ndio nini? Kama kuna Zanzibar kuna Tanganyika pia na kama kuna Tanzania bara basi kuna Tanzania visiwani.
  7. M

    Je, bodyguard wa Rais hana likizo?

    Yule ni mpambe sio body guard.
  8. M

    Rais Magufuli: Siogopi kufungwa. Kama mliniteua niwatetee, nitawatetea kwa nguvu zangu juu ya majizi

    Hilo la kusema haogopi kufungwa hakulitamka tu bali alishalifikiria na akaona uwezekano wa yeye kufungwa upo.
  9. M

    Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA

    Amgekuwa Sugu angempa makavu pale pale, huyo mbunge muoga tu.
  10. M

    Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA

    Karma inasema "positive attracts positive" and "negative attracts negative".
  11. M

    Waandishi Walioripoti mkutano wa Lissu wahojiwa na Vyombo vya Dola!

    Kichwa cha habari kinasema waandishi wa habari wahojiwa na vyombo vya dola wakati habari yenyewe inasema wamehojiwa na polisi! Ina maana hata Takukuru, Magereza na uhamiaji waliwahoji hao waandishi?
  12. M

    Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA

    Kama mtu una busara na unaweza kutumia akili vizuri kuwasiliana na watu ni jambo la kushukuru sana. Busara ni kama utajiri sio kila mtu lazima awe nayo.
  13. M

    Yanayosemwa Kenya: Magufuli Kushirikiana na Raila Uchaguzi mkuu

    Huo ni mkosi kwa Raila Odinga, asahau urais Kenya.
  14. M

    Raisi awaidhinisha wahindi kama kabila la 44 nchini Kenya

    Watu kama hao ndio wanaoendeleza uongo kumhusu Nyerere. Sifa anazopewa Nyerere nyingi ni za uongo kwa sababu kipindi cha utawala wake hakukuwa na demokrasia ya watu kuwa na mawazo tofauti na yake kwa hiyo hata vyombo vya habari viliandika yanayomsifu.
  15. M

    Polisi: Lissu hatoki

    Hivi polisi ambao ni failure wanaweza kumuhoji msomi Lissu au wanapokea maelekezo kutoka lumumba tu? Wakimpeleka mahakamani wataishia kuumbuka kwa sababu ya uzuzu wao.
  16. M

    Halima Mdee akitoka lupango atakuwa na staha. Nakumbuka aliwahi kumwambia Mbatia kuwa atamuoa

    Wabunge wa chadema karibu wote wameshawekwa sero lakini hawachoki kuwakemea mafisadi ya ccm wanaojifanya wazalendo. Lijuakali alishawapa kipondo polisi na akafungwa lakini hakuna bado yuko vile vile. Wabunge wa upinzani sio sawa na wa ccm.
Back
Top Bottom