Search results

  1. PAGAN

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Wapi nimewafananisha?
  2. PAGAN

    RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Mmakonde mabaunsa wale wote wa nini. Mambo mengine mpaka aibu unaona wewe unaemwangalia.
  3. PAGAN

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Lady JayDee alikuwepo, maana yeye ndio alimuimba nyimbo za kumsimanga mpaka kafa.
  4. PAGAN

    Harmonize afikishwe sober house haraka, mihadarati inapeleka kubaya

    Leonardo Da Vinci said, history is always written by the winner. Kwenye falsafa yake alikuwa na mtazamo kama huu wa Hermonize, kwamba Macho society took everything from a woman and labelled her as an unintelligent weak creature. Refer to the bible, where were Maria after the death of her son...
  5. PAGAN

    Top 10 the world's best dancers of all time in music

    Respect tu. Lakini sijawahi kuona video ya Michael akijizungusha hewani mara 3.
  6. PAGAN

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  7. PAGAN

    Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Waliowaletea hizo biblia wenyewe siku hizi hata hawana makanisa, nyinyi bado mnataka kuuwana wenyewe kwa wenyewe. Miafrika ndio tulivyo.
  8. PAGAN

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wajameni mtamuua Gary Neville.
  9. PAGAN

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Anayetoa ushauri wa kuuzwa kwa Rodrygo achungunzwe labda kachukua rushwa. Rodrygo ni decision maker, tumestrugle miaka kibao kutafuta striker, I don't know. Labda maPundits mtuelezee.
  10. PAGAN

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Anauzwa wakati yuko kwenye pick. Wanaodai hivyo wenyewe wanasema Rodrygo mwenyewe hataki kuondoka.
  11. PAGAN

    Tuheshimu mila za watu

    Zanzibar kuna umama sana.
  12. PAGAN

    Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

    Haki ni kwamba kila mtu alee wanae. Alternative sijui nini kwanini watoto wa mwanaume mwingine ampe baba mwingine!
  13. PAGAN

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Rumour has it. Lakini mi naona dogo hana cha kuprove, aletwe tu apige mabao. Media nyingine zinadai huenda Rodrygo akatiwa sokoni kitu ambacho mi siwezi kusuport hata siku moja.
  14. PAGAN

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Dogo Endrick katupia tena leo. 2 games and 2 goals akiwa kwenye National team. Inaelekea msimu ujao tutakuwa na safu ya ushambuliaji yenye akili, yaani pale mbele tutakuwa na Brazilian attacking weapons + Kilian Mbappe. Yaani ni squad bora kutokea kuliko ya kina Figo na Beckham
  15. PAGAN

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    We ushawahi kufuga mbwa nchi gani? Tuanzie hapo kwanza.
  16. PAGAN

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    Kwanza mbwa wenyewe wa kibongo wasile ugali si watakufa njaa.
  17. PAGAN

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    Nani kakwambia nguruwe hawali ugali? Shwain wanakula mpaka ukuta wa nyumbani unasema ugali.
  18. PAGAN

    Malikia wa Mpira wa Wavu kwa sasa ni Melissa Vargas

    Mkuu nenda, niliwakuta Maputo, Mozambique wanagonga Portuguese kama lugha yao. Kwa ufupi wale wakirudi Cuba ni kutembelea familia tu. Halafu jamaa shule sana, hata Ulaya huwezi kumkuta mcuba anabeba box
  19. PAGAN

    Malikia wa Mpira wa Wavu kwa sasa ni Melissa Vargas

    Mkuu ni kweli, watoto wa Cuba ni mia mia. Halafu kitu kingine Cuba unaweza kuchukua mtoto mkali ukimwahidi tu ntakupeleka Tanzania. Yaani warembo wana elimu lakini swala la ukata linawatesa mpaka wanatia huruma.
Back
Top Bottom