Search results

  1. N

    Chemsha bongo yangu leo haya huyu jamani ni mwanamke au mwanaume?

    Ni vitu viwili tu vinavyomwonyesha Mtu jinsia yake, Cha kwanza kinadhihirisha kuwa ni Mwanamke nayo ni Matiti pengine kisicho onekana kinaweza badili uelekeo labda awe dumejike. Kwa mwonekano huo ni Mwanamke.
  2. N

    Jinsi wageni watakavyo leta vita Tanzania!

    [QUOTE=Kanyabwoya;955423]Hayo yote ni sahihi mkuu. Lakini hatuwezi kuacha hivyo hivyo, lazima tuchukue hatua. Ni kufuatilia Uhamiaji na Wizara ya Kazi. Mimi bahati mbaya sijakutana na hawa watu unwanted illegal, mitaa yangu nakutana na walimu kutoka Uganda, nawaacha kwa vile ni walimu, mnajua...
  3. N

    Angalia watu wanavyo mkufuru mungu

    Nadhani ndiyo nafasi ya Miungu watu kuonekana sasa kwani hata wewe ukiamua kuanzisha kanisa utafanikiwa ili mradi utangaze kuwa unamiujiza ya kuponya. Aiu unaombea watu kupata kazi nk. utapata waumini wengi na kuanza kuzichanga kwa sadaka. Nilikuwa safarini Mwenzi jana akaja jamaa anahubiri...
  4. N

    Kila nikiingia na mipira narudi nayo nje!!!@@

    Ohhh mkuu, Tunaelekea kukupoteza.
  5. N

    Jinsi wageni watakavyo leta vita Tanzania!

    Pole ndugu NYAU, Hata mimi hiki kitendo kinanikera sana, Nafanya kazi ktk Mojawapo ya Migodi ya hapa nchini lakini kuna EXPERT wengi sana na hawana chochote kichwani cha ajabu baadhi ya wengine wanadiriki kuja kukuuliza kuwasaidia baadhi ya kazi na hakuna wanachotuzidi sisi, Nenda kwenye malipo...
  6. N

    Re: Kama ungekuwa ni mmojawapo katika hadhira hii ungechagua njia ipi na kwa nini?

    Hii speech ni Nzuri sana kwa jamii yetu ya leo hata hivyo nina wasiwasi kama Lugha aliyoitumia Mkurugenzi itakuwa imeeleweka kwa watu wote kwani tunatofautiana uelewa, japokuwa alitaka kupunguza ukali wa maneno lakini alitakiwa ataje kitu dhahili ili kieleweke. Mimi bado nakubaliana na...
Back
Top Bottom