Search results

  1. J

    Viongozi wa juu wakiwa kigeugeu wa chini itakuwaje?

    CHAMA CHA MADEREVA NA MAKONDA DAR MLANDIZI kilisha fanya utafiti wake mabasi 300 yanatosha kabisa na mchanganyuo wote wanao na ndo maana wameiba mawazo yao na kuyaweka hadhalani si umeona hawajui kitu chochote hapo! wilaya zote za Mkoa wa dar ni mabasi 35 tu kila wilayaya na Mkoa jirani wa PWANI...
  2. J

    Guninnita & W.LUKUVI Mnakumbuka Mlivyoiua Miradi ya Mabasi ya shule

    Akamatwe haraka sana! Kova upo wapi na hosea!
  3. J

    Guninnita & W.LUKUVI Mnakumbuka Mlivyoiua Miradi ya Mabasi ya shule

    Tume huru! Hawa hakuna na wauaji sasa wamekuja na mabomu mapya! Bado nipo pale pale hili ni wazo la dca madereva na makonda wa umoja wa dar mlandizi hebu tuwaachie hawa maana akina uvvccm ni wale wale waliokula pesa za mwanzo leo tena mkuu pinda unatuomba tuwape wale wale! Jamani mkuu...
  4. J

    UDA kutumia Sh 24 bilioni kuagiza mabasi ya abiria

    Nauliza wakala wa hizo TATA bus za wanafunzi ni nani???????
  5. J

    UDA kutumia Sh 24 bilioni kuagiza mabasi ya abiria

    Si nilisema hawa watu wapo kuiga iga tumawazo ya watu! Hamna cha korea wala nini uda ni mfu! Hilo bado ni wazo la dca chama cha madereva na makonda dar mlandizi mbona kila kitu mnawaiga na kuwatupa serikali yetu bwana kweli ni usanii! Kwa nini msiwe na ubunifu wenu sasa mnataka kulitumia shirika...
  6. J

    Pinda ametuomba tuchangie tena mradi wa mabasi ya wanafunzi

    Ndugu Tunashukuru kwa hilo!`ila cha kushangaza na kusikitisha juu ya mradi huu jamani tusiibuke tu na "kuiga Mambo" CRDB na wizara zote husika zikumbuke kuwa Chama cha madereva na makonda cha DCA Dar Mlandizi kilisha kaa nao vikao na badala yake kuishia kuwapiga chenga na kumbe nia ilikuwa ni...
Back
Top Bottom