Search results

  1. trustone

    Hii kitu kama ina ukweli ndani yake

    Nikitazama mwenendo wa baadhi ya viongozi, hakika hili naliona lipo sana
  2. trustone

    Hivi swala la waalimu kukatwa pesa za maabara limeishia wapi

    Jamani wana JF naomba kuuliza ni kitambo kidogo tulisikia kauli tofauti tofauti toka kwa viongozi wa juu wakiwamo mawaziri kuhusu kukata waalimu pesa kwaajili ya maabara shule za Kata. Hivi mpango huo umeishia wapi? Au wamesha jua kuwa ni tafrani watazua?
Back
Top Bottom