Search results

  1. 5

    Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  2. 5

    Serikali imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara toka 2017 hadi 2021

    Kuna watumishi walipandishwa madaraja 2016, 2017, 2019 na 2021. Marekebisho ya mishahara yakacheleweshwa hivyo kusababisha madeni ya malimbikizo ya mshahara. Kila waziri anayeteuliwa wizara ya Utumishi na Tamisemi wamekuwa wakijinadi kulipa lakini hadi wanahamishwa hakuna kinachofanyika...
  3. 5

    Kwa akina DADA na MAMA zetu mtusaidie hili:-

    NI kwa nini UTUPU wa mtoto wa KIUME hamuuthami jamani? Yaani utakuta katoto ka kiume kanadhurura tu uchi hata nguo hakajavalishwa, Lakini mtoto wa KIKE {THUBUTUUU!!! hata nje hagusi. Hivi ni kwa nini jamani? Hata sisi tuntjisikia vibaya tunapoona mtoto wangu au wa mwingine anadhurura UCHI...
  4. 5

    Kwa anayejua naomba anijuze hili kuhusu taifa la MAREKANI

    Ni kwa nini hili ndilo taifa pekee duniani ndilo linalohagaika kufatilia mataifa mengine hasa kwenye suala la kijeshi, wakati kuna mataifa mengine yapo imara kijeshi na hayana muda wa kufatilia mataifa mengine yanapotaka kujiimarisha kijeshi, hasa upande wa uboreshaji wa silaha. Ni kwa nini iwe...
  5. 5

    Leo tarehe 1/1/2015: Wifi / Shemeji yenu ameniletea mtoto wa kiume

    Habari wana JF. Jana na leo kwangu ilikuwa pilika mimi na wifi/shemeji yenu, mwisho wa siku leo trh 1/1/2015 mnamo saa 3usiku akajifungua babyboy. Kwa mnapotakiana heri ya mwaka mpya mumkumbuke na huyo dogo, ni hayo tu, heri ya mwaka mpya wana JF WOTE
  6. 5

    Radio one naomba Mumhoji Waziri Majaliwa kuhusu Walimu kukatwa fedha ya nyumba

    Tafadhali wahusika wa kipindi cha kumepambazuka cha Radio one, naomba mumtafute naibu waziri TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mh.Kassimu Majaliwa, Atoe ufafanuzi kama kunasheria inayoruhusu Mwalimu kukatwa fedha kwenye mshahara wake kwa ajili ya kodi ya nyumba anayoshi shuleni. Haya mambo...
  7. 5

    Utafiti wa uhakika

    Wanawake walioolewa wengi husumbuliwa sana na ujauzito pale unapokuwa mchanga,mfano kuanzia mwezi mmoja hadi minne. Sababu ya tatizo hilo ni shahawa zinazoingia nje ya mfuko wa uzazi baada ya mimba kutunga. Kuepuka mgogoro huo ukishagundua kuwa una ujauzito, tumia kinga wakati wa sex...
  8. 5

    Inawezekana kuchukua mkopo kwa kutumia bank statement bila salaryslip

    Mimi ni mtumishi wa umma-idara Elimu nahitaji kuchukua mkopo lakini slip naona zimeota mbawa, Je inawezekana kuchukua kwa bankstatement?
  9. 5

    Napenda sana watoto wa kike

    Ukweli napenda sana mke wangu anizalie watoto wa kike wengi tu. Wa kiume hata akipatikana mmoja siyo mbaya. Sababu wanapenda na kujali wazazi wao, wanaume wanapenda raha mjini wazazi wanalalia ngozi kijijini, akiambiwa wazazi wagonjwa, ataonekana siku ya msiba na video camera kuonyesha...
  10. 5

    Utachagua wapi pa kuishi

    Taja nchi mojawapo ambayo unahisi ukiishi utakuwa na furaha moyoni mwako maana hapa Bongoland chini ya magamba panaboa aisee. For me USA, QATAR OR ISRAEL.Kuna zingine bora nibaki Bongo mfano Palestina na Iraq
  11. 5

    From USA to Bongo

    Could U welcome me please?
Back
Top Bottom