Search results

  1. kidadaa

    Kusafirisha mizigo kutoka Indonesia kuja Tanzania

    Habari wadau, nauliza kama kuna mfanyabiashara yoyote anasafirisha mzigo kutoka Indonesia kuja Tanzania, au anafahamu kampuni yoyote inayosafirisha mizigo kutoka huko kuja huku. Natanguliza shukrani kwa msaada.
  2. kidadaa

    JOB VACANCY

    POST DETAILS. EMPLOYER: CORIS COMPANY LIMITED POST: CASHIER QUALIFICATIONS; Diploma in Accounts or any related field Send your CV and Application letter to; salescoris@gmail.com. Or bring it to our Office Mabibo Hostel near Lake Oil petrol Station.
  3. kidadaa

    Natafuta kazi

    Kwa yoyote anayeweza kunisaidia nitashukuru sana maana nimehangaika kutafuta kazi bila mafanikio. Nina miaka 29 Nina degree ya sheria Nina experience kama afisa sheria kwenye employees unions Nina experience kama administration assistance Naishi Dar Nipo tayari kufanya kazi popote
  4. kidadaa

    EMCI cleaning services

    Tunatoa huduma zote za usafi Usafi wa maofisini Usafi wa majumbani Tunasafisha carpets na sofa Tunasafisha madirisha Tunafanya installation ya bins kwenye maofisi Tunafua nguo Tunafanya fumigation bei zetu ni nafuu sana kwa kila mtu kuweza kumudu. Usafi kwa afya bora
  5. kidadaa

    Emci cleaning services

    Je unahitaji usafi wa nyumba yako?, Ofisi yako? Emci Cleaning services ipo kwa ajili yako. Tuite tukufanyie usafi kwa gharama nafuu kabisa. Tunasafisha masofa yote ya kitambaa na ya ngozi kwa gharama nafuuna tunatumia machine za kisasa. Carpet nazo tunasafisha. Tupigie 0716084733 Tunafanya...
  6. kidadaa

    Mek elekt enterprises

    Tunasupply vifaa vyote vya ofisini Tunakodisha magari kwa ajili ya harusi. Tunasupply vifaa vya majumbani kama fagio, mchele, unga, nyanya nk Tunafanya usafi majumbani na maofisi. Gharama zetu ni nafuu sana. mekelektenterprises@gmail.com Karibuni
  7. kidadaa

    Huduma bora kwa wamiliki wa hoteli, migahawa

    Wale wanaomiliki hotel sasa nawasogezea huduma nzuri ya kupata nyanya, vitunguu, carrot na hoho vikiwa ni fresh kutoka shamba. Nakuletea mpaka eneo ulipo bila kucharge gharama ya usafiri. Nyanya hizo wapendwa fresh from shambani sado sh 5000 tu. Kuna carrot kg 1 sh 3000 Hoho kg 1 sh 3000...
  8. kidadaa

    Habari njema: Tunashona sare (uniform) za aina zote

    Tunashona uniform aina zote ( za walinzi; wafanyakazi na wanafunzi) kwa bei nafuu mnoo na kwa haraka zaidi. PM kwa yoyote aliye interested.
  9. kidadaa

    Kuzaa kwa upasuaji

    Habari zenu humu ndani. Naomba msaada wa kueleweshwa, mama mjamzito aliyeshauriwa kuzaa kwa operation kwa sababu mtoto hajageuka atapaswa kusubiri wiki ya 40? Au itabidi apasuliwe kabla ya wiki ya 36? Nawasilisha
Back
Top Bottom