Search results

  1. M

    Magufuli aagiza waliomdanganya wasimamishwe kazi

    Raisi John Magufuli ameagiza wafanyakazi wa Kiwanja cha ndege JNIA wasimamishwe kazi na kushushwa vyeo(demote) kwa kuwa walimdanganya alipofanya ziara ya kushtukiza mapema mwaka huu. Raisi Magufuli ametoa maagizo hayo leo alipofanya ziara ya kushtukiza kiwanjani hapo wakati alipokuwa akimuaga...
  2. M

    Imekaaje Hii,Fella,Sallam,Babutale ni wao tuu?

    Kwa udadisi na kautafiti kangu ka muda mfupi nimekuja kufahamu kwamba,Mameneja wa muziki wa kizazi kipya wanaokamata kwa sasa ni watatu tu,yaani Sallam anayejiita Mendez,Said Fella na Babutale. Na kingine ni kwamba hawa jamaa wote ni wa kutoka mkoa wa Morogoro aidha kwa asili au makazi na...
  3. M

    Wakili Albert Msando awapa somo BAVICHA

    Wakili Albert Msando kimtindo amewapa somo vijana wa chama cha Demokrasia na maendeleo wenye tabia ya kuwapachika majina na sifa ya usaliti wale wote waliotoka kwenye chama hicho kutokana na kutofautiana kimsimamo na viongozi wakuu wa chama au viongozi wengine. Msando ametoa somo hilo katika...
Back
Top Bottom