Search results

  1. G bznes

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Labda na ww ni Paka ila hujui
  2. G bznes

    Kuna uwezekano wa kuupata

    Dunia Ina Siri nzito sana hii. Hapo usikute anayeulizia Mzigo wa Marehemu ni Alimuuzia kwa Mali Kauli, Endapo Akifika akiuza arejeshe Pesa. Mara Ghafla akapatwa na Mauti akiwa Njiani! Kwa Haraka Haraka Ndugu wa Marehemu ni Ngumu kuelewa hilo Somo. Chakufanya ni Mweny Mali Kutafuta njia ya...
  3. G bznes

    Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Kuwa CCM siyo sababu ya Kuchoka na Mfumo m'bovu unaoendelea. Inafikia Wakati watu wanachoka
  4. G bznes

    Kwa hali yetu waTZ, vifuatavyo vilivyapaswa angalau kuwa bei hizi ili watu wasiumie mtaani.

    Acha Makasiriko, kwani huko nyuma hakukuwahi Kuwa na Bei za ivyo? Imekuwaje hadi tukafika huku tulipo sasa? Tunapiga kelele sababu zilizopelekea tukafika huko ziangaliwe upya pande zote ili tuende sawa kama inavyotakiwa. Kama ni Gharama za Kutunza Shamba na Ufugaji yaandaliwe mazingira bora...
  5. G bznes

    Kwa hali yetu waTZ, vifuatavyo vilivyapaswa angalau kuwa bei hizi ili watu wasiumie mtaani.

    Hata hapo kweny Nyama umeweka Bei Juu sana walau iwe elf 3,000/- Na Huduma za Kijamii napo bei ziwe chini kama Huduma ya Upatikanaji wa Umeme na maji. Miaka ya Nyuma ilizoeleka Mafuta ya Taa(Kerosin) ndo yalikuwa Bei Ndogo Kuliko Deseal na Petrol ila kwa sasa Bei yake ni Juu mara Dufu ya...
  6. G bznes

    Nimezama kwa mtumishi wa Mungu

    Umesema Kusini? Kuna ambaye huko kusini nasikia amekataza watoto kwenda shule wasubiri Kuja kwa Kristo kuko Karibuni. Bila shaka ndiyo yeye!
  7. G bznes

    Prof. Tibaijuka: Zoezi la kuvunja Madanguro lina nia Njema lakini Mazoezi haya huko nyuma hayakufanikiwa, JIBU ni Wateja kuwawezesha kiuchumi Waoe!

    Na Wauzaji wengi Ni watoto wa Nyumbani Bi mkubwa asa jiandae kuwapokea hapo Muleba maana hawana Kazi Mjini
  8. G bznes

    NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha Chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa hizo

    Energy drink zenyewe zifutwe tu vijana wa Ovyo wamebadilisha matumizi siku hizi. Vile siyo vinywaji vya kawaida
  9. G bznes

    CHADEMA kwafukuta moto mkali, Mbowe na Lissu hakuna maelewano

    Acha niende zangu tu Jukwaa la MMU maona huku siku hizi mapambio ni Mengi. Naweza Kula Ban kwa Kumtukana hata mleta Huu UZI maana ni kweli naona amechanganyikiwa
  10. G bznes

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]riveside siyoo? Haya mkuu
  11. G bznes

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Relax mkuu. Mwenyewe kuna masihara niliandika huku Mwamba alinusa harufu akanifuata PM nikamuweka sawa nadhani bado maisha yanaendelea upande wao
  12. G bznes

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyu bro Baada ya Kuhusi anaweza Kuwa manzi yake akatengeneza ID mpya tarehe 08/10/2023 Na akaupata Ukweli kuwa manzi yake kaliwa kimasihara kweli huku yeye msafisha Ghetto akiachwa solemba Toka Tarehe 09/10/2023 amepotea kabisa huku JF. Tuzidi Kumuombea huko alipo awe mzima[emoji40]
  13. G bznes

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyu bro [emoji1787]
  14. G bznes

    NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI

    Mbona kwenye maelezo umejichanganya mkuu au ni mimi sijaelewa kuhusu idadi ya vyumba vyenye master?
  15. G bznes

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Link ya nini wakati mwamba hapo alitoa Boko kama Maguare tu[emoji3], kwny Masihara kule kajisahau katuma Screenshot ya chat zake na pisi yake namba ya Manzi Ikiwa wazi kabisa. Wahuni wakampandia Juu. Hii mitandao Tuwe nayo makini sana. Kuharibiwa Image yako nzima inaweza kuwa jambo rahisi sana...
  16. G bznes

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Jambo Baya Ni Kwamba Kijana hajamfahamisha Iryne kuwa umehama Nyumba
  17. G bznes

    Dogo Young Lunya ni nani?

    STUPID
  18. G bznes

    Wenye ndoa na wababa waliowahi kuoa, matumbo joto na homa zinapanda taratibu

    HUU MJI UNA MENGI SANA YAPO GIZANI. SHETANI AKISHINDWA KUYABEBA HUWA ANAAYAACHIA MOJA MOJA
  19. G bznes

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Au Marehemu Mzee Pama ndo Mume wa Vicky Kamata A.k.A Masuria[emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom