Search results

  1. The Seeker

    Elections 2010 Vyombo vya khabari vyenye ubia na CCM vyaanza kazi.....

    kiukweli wala sishangai waandishi wa habari wengi ni ma puppet wa serikari na huwa wanaaangalia kula na kuhongwa, nchi za wenzetu kupata habari waandishi hugombania but hapa kwetu waandishi wengi huhongwa ili waandike habari, hii ni mbaya sana na wananchi tusipokuwa makini tutaletewa balaa na...
  2. The Seeker

    Elections 2010 Nilikuwa mkereketwa wa CHADEMA lakini nimejitoa

    Dada zawadi, sidhani kama unafahamu siasa, pili point zako ni dhaifu sana hata mtoto wa darasa la pili au tatu hawezi kujiunga nawe kwenda huko uliiko na umaskini wako kama wengi wa watanzania.... coz hizo point zinaonyesha umaskini wa mawazo, fikra potofu, na mawazo duni ya kufikiria mbali...
  3. The Seeker

    kwa nini Rais kikwete asitumie HEKIMA kama hii ya Mwl. Nyerere

    Oktoba 1966 kundi la wanafunzi kama 400, wengi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waliandamana hadi Ikulu kwenda kupinga sera mpya ya kuwataka kwenda kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa wakiwa bado chuoni na wakiwa huko watalipwa asilimia 40 ya mshahara ambao wangelipwa kama wangekuwa...
  4. The Seeker

    Dada yangu na boss wake

    are you crazy shit or what???????? Dada yako yuko njia panda???? Hafai hata kuwa kwenye hiyo ndoa. Anafahamu maana ya ndoa? Na kama anampenda mume na familia yake huko nje anatafuta nini??? Im sorry but i think ana element za uma***ya..... Huwezi kumpenda mumeo na ukamwachia mwanaume mwingine...
Back
Top Bottom