Search results

  1. T

    Nimeagiza Mashine ya ku-Print Picha kwenye Cover za Simu

    Waungwana, nimeagiza Printer itakayowawezesha wateja wangu ku print picha wazipendazo katika Covers za Smartphone zao. Printer inaingia kesho, niko katika hatua za kitafuta frame mwenge. Bei ya ku print picha uipendayo kwenye cover ya simu yako ni tsh 20,000 tu. Tuna plain covers za...
  2. T

    Bado nahitaji samaki SATO up to 400kg/week

    Habari zenu watanashati. Urgently nahitaji mtu anaeweza kuniuzia Samaki aina ya Sato kwa bei nzuri awasiliane nami. Number yangu ni 0787220742. Tafadhali 1. Nahitaji Sato kutoka ziwani Mwanza/ Musoma 2. Nahitaji pia Sato wakufuga walio katika mabwawa hapa hapa Dar es Salaam. Regards.
  3. T

    Natafuta Msambazaji wa Samaki (Sato) toka Mwanza Mpaka Dar es Salaam.

    Habari zenu wanajamii. Nahitaji supplier atakaeweza kuniuzia samaki aina ya Sato kwa bei ya atleast tsh5000 - 5,500 per kilogram. Nahitaji kuanzia 300kg kwa siku. Pia naomba msaada kwa yoyote anaefahamu wasafirishaji wa samaki kwa njia ya barabara kutoka Mwanza kuja Dar. Sababu nina uwezo wa...
Back
Top Bottom