Search results

  1. M

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    mbona unakuja na hoja nyepesi? ile bodi haijavunjwa na Mnyika wala Msigwa imevunjwa na rais kwa kushindwa kusimamia bandari na akaagiza wahusika wawe chini ya ulinzi kwa swali lako ameiba hajaiba anajua Magufuri#DrTuliaMustGo#
  2. M

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    kama inatokea bunge ndo linapaswa kumchunguza itakuwaje na wakati yeye ndo amekalia kiti cha spika ndo maana tunasema #DrTuliaMustGo#
  3. M

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    Kama haipo hivyo tatamtaka tena Waziri mkuu arudi achambue uhusika wa kila mjumbe ili yeye abaki safi bili kuhusishwa na kauli yake ya kuagiza vyombo vya dola kuwaweka chini ya ulinzi wale wajumbe wa bodi na mkiti wake.
  4. M

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    Hili nina uhakika litakuwa ni jaribu la kwanza katika utawala wa JPM na bahati mbaya sana yawezekana hata yeye wakati anamtuma waziri mkuu wake alisahau kwenye lundo la uvundo tayari alikuwa ameisha bebeshwa fuko moja wapo ,njia ni moja akubali huyo dada aachie ngazi au iwe ni ajenda ndani ya...
  5. M

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    Hili nina uhakika litakuwa ni jaribu la kwanza katika utawala wa JPM na bahati mbaya sana yawezekana hata yeye wakati anamtuma waziri mkuu wake alisahau kwenye lundo la uvundo tayari alikuwa ameisha bebeshwa fuko moja wapo ,njia ni moja akubali huyo dada aachie ngazi au iwe ni ajenda ndani ya...
  6. M

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    sisi ndo tutakaoshinikiza serikali na chama chake wachukue hatua kama Rais anataka tumuunge mkono katika harakati zake za kuibadili hii ni lazima naye serikali yake iwe tayari kuunga mkono hoja za wananchi. #DR-TULIA ACKSON MUST GO#
  7. M

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    Mimi nina hisa na Tanzania wewe unahisa na nani?
  8. M

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    Kama Dr Tulia naibu spika wa sasa alikuwa mjumbe wa bodi ya bandari chombo chenye dhamana ya kusimamia mapato ya bandari kwa niaba ya serikali na wakati huo tunaona kuna upotevu wa mamilioni ya pesa kwanini mtu huyo aendelee kuaminiwa kwenye muhimili muhimu kama Bunge? Kuna hisia pengine...
  9. M

    Afisa TPA: Vigogo walitumia "vimemo" kupitisha makontena yao ya ndugu zao na ya wapendwa wao

    sasa kama yeye anapokea na kuhifadhi ikatokea akaachia huo mzigo/kontana bila TRA hajafika inashindikana nini? amepokea makontena 10 TRA ikaja na kuambiwa amepokea 5? au unataka kuniambia makontena yanakabidhiwa na TRA PTA?
  10. M

    Viti maalumu vya ubunge wanawake

    Nimeumia sana kwa dhuluma tuliyofanyiwa na NEC kwa maelekezo ya serikali ya CHAMA CHA MAPINDUZI imani yangu ni kuwa kwa maumivu tuliyoyapata kama wana UKAWA hili litakuwa funzo isitokee hata sisi tukawadhulumu wenzetu tunao wazidi ubavu.
  11. M

    Ukawa zuia bao la mkono

  12. M

    Ukawa zuia bao la mkono

    UKAWA/CHADEMA KUFUNGA KAMPENI TAR 24.10.2015 NI KURUHUSU GOLI LA MKONO. Nimekuwa nikitafakari juu ya mpango wa team ya kampeni ya UKAWA kufunga kampeni siku moja kabla ya siku upigaji kura kama hatua inayoweza kuleta changamoto nyingi sana siku yenyewe ya upigaji kura. Uzoefu wa mikutano...
  13. M

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Sawa ila mimi ndo rais wangu.
  14. M

    Tunahitaji rais mwenye sifa zaidi ya utendaji na usimamizi...

    Moja ya changomoto ninayoiona katika uchaguzi wa mwaka huu ni pale watanzania baadhi kutumia kigezo cha kutokuwa fisadi na uchapakazi kama sababu pekee za kumpata rais tunayemtaka katika awamu hii ya tano bila kujua kuwa dunia ya sasa imebadilika sana na bila kuwa na rais mbunifu kulingana na...
  15. M

    Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Natamani kuona wachingiaji wa hii thread wakichangia tena baada ya unabii kutimia
  16. M

    Ukuu wa Dhamira Juu ya Hisia (Supremacy of Conscience Over Passions) - In Honor of Dr. Slaa

    Sasa hapo unauliza nini? kama umeelewa kuwa aliwapa sharti ambalo hawawezi kulitimiza si ndo kukataa kwenyewe?
  17. M

    Moja ya somo gumu ni kujifunza uvumilivu ktk mazingira ya kudhulumiwa na kuonewa !

    Tarehe 08.08.2015 nilishiriki uchaguzi wa kura ya maoni kata ya TABATA kwa nafasi ya udiwani, pamoja na mizengwe iliyosukwa kupitia kamati tendaji ya Jimbo kukata jina langu lisiende mkutano mkuu wa kata kupigiwa kura bado jaribio hilo lilishindwa baada ya kamati tendaji kugawanyika na...
Back
Top Bottom