Search results

  1. E

    Heche ameondoka na BAVICHA?

    Jamaa anahitaji media connection Tu mziki anauweza. Engine chuki Tu kubali matokeo songa mbele. Hii tabia ya chuki kwa washindi Mwisho wake Ndo Yale ya akina Mwampamba dhidi ya Heche.
  2. E

    Heche ameondoka na BAVICHA?

    Patrobass Ni Kiongozi Mzuri wa aina yake nakiri si caliber ya Heche. bado anajisimika unajua media zatu zinataka connections. kazi anapiga kila Leo mfano Alikua Kahama juzi akitokea shy. Jana alikua Arusha kwenye kumbukizi. za trh 5. Jamaa anamtihani wa kujenga Presence yake. Kama Salum Mwalim
  3. E

    Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

    MTU anisaidie latest defence system za Ke , Ug name Tz. nachojua enzi za Kagera War Tz tulikua na SAM 6. ambayo Ni almost equal na TL 50. sema Hii Tl 50 imeadvance kidogo Tu. na uwepo WA SAM 6 ZAIDI YA 300. ULIZIMISHA ndoto ya Ke kutushambulia enzi za 80s
  4. E

    OCD atakayeruhusu maandamano ya CHADEMA kufukuzwa kazi

    makamanda tukaze Uzi Hawa ni wepesi sana tunahitaji nguvu kidogo tu . break ya kwanza inakuwa Magogoni.
  5. E

    Tunawakaribisha katika harambee ya kuichangia CHADEMA Wilaya ya Itilima

    unajifanya Zuzu wakati unajua Ruzuku in ndogo. lengo lenu CHADEMA tusiamke. makamanda tuchangie via Mpesa hata buku 10 kumi
  6. E

    Tunawakaribisha katika harambee ya kuichangia CHADEMA Wilaya ya Itilima

    KARIBUNI ITILIMA Makamanda ABINGE HE NGUZU. Napenda kuwaomba na kuwakumbusha kuhudhuria sherehe ya harambee ya kuchangia Chadema ndani ya mkoa mpya wa Simiyu kwenye wilaya mpya ya Itilima itafanyika tarehe 28 mwezi huu katika ukumbi wa Bariadi Motel kuanzia saa nne asb. Sherehe hiyo itaambatana...
  7. E

    Wakati wa Vijana CHADEMA umefika, ni maandamano nchi nzima

    Juliana Shonza my lover mbona Chadema yakutesa. tulia name mwigulu.
  8. E

    Frank Kubwera: Nichagueni ujumbe baraza kuu la chama toka BAVICHA Taifa

    wewe ndo hujui lolote kuhusu siasa za Bunda na Mara. kwa kukusaidia tu picha ya Nyasura iko hivi. moja. Mgombea aliyeshinda mchakato wa ndani anaitwa magambo na Magambo na frank ni Marafiki. (uliza Bunda Nzima) na sasa mgombea aliyeshindwa anaeitwa Jumanne ndo alihujumu Nyasura akishilikiana na...
  9. E

    Taarifa zamtaja Paschal Patrobass Katambi kushinda mwenyekiti BAVICHA 2014

    patrobass ndiye mgombea mwenye gutts za kushinda na niaina ya kiongozi anayehitajika kuifanya BAVICHA kuwa taasisi ya kusaidia chama kwanguvu
  10. E

    Taarifa zamtaja Paschal Patrobass Katambi kushinda mwenyekiti BAVICHA 2014

    Ndugu wanabodi Nimejaribu kutafuta taarifa za kina juu ya mchakato wa uchaguzi wa Baraza la Vijana CHADEMA(BAVICHA) taifa. taarifa nilizokusanya hadi sasa zinaonesha washindani wakubwa wako wanne. 1. Ephata Nanyaro 2. Daniel Naftari. 3. Patrobass Paschal. 4 Philipo Mwakitinge...
  11. E

    CHADEMA: Uchaguzi wa wilaya unarindima Shinyanga

    makamanda wa Shinyanga pigeni kura kwa umakini sana maana hapo Shy kuna vi-element vya ACTtena kuna mmoja anagombea
  12. E

    Makada wa CCM watajwa kuisaidia ACT-Tanzania

    Eehh unaweza ukafa na joka lako pia.. ila ZZK YEYE alilamba bibi bahati akaolewa nae
  13. E

    Makada wa CCM watajwa kuisaidia ACT-Tanzania

    wajameni si mnakumbuka wakati huyu ZZK akiwa CHADEMA alikuwa mtu wa karibu wa JK mara anaacha kamati kuu ya chama anaenda nae Sudan. yaani haishi kupewa shavu/fursa na huyu Rais Dhaifu. ikafikia wakati dogo ZZK akawa nasema "ooh mimi Jakaya ni mzee wangu" nafursa zoete Bungen zilikuwa...
  14. E

    CCM Mwanza yaaibika yabakia na mziki

    Haha. Hivi huko dar hakuna njemba mwingine amtulize huyu kamata maana anatusumbua huku.
  15. E

    Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Nahisi huyu #Kichuli atakuwa mchepuko wa Chenge. Umesahau wale waliopitiwa na kibajaji chao wakafa ooohh.
  16. E

    Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Niku Pm nitugani namba au jina lake. Kama namba itabidi uni pm yako kwanza. Pamoja mkuu
  17. E

    Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Kweli hakuna marefu yasiyo na ncha kwa mbaali namuona Chenge yuko Mahakamani. Shaidi mkapa. Haha.
  18. E

    Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Miongoni mwa majimbo yaliyowazi ni hili. Kama Chadema hawajapata mgombea nina jamaa yangu naona anafaa ni injinia wa ujenzi mtu wa Dutwa.
Back
Top Bottom