Search results

  1. G

    My dream man!! Je wewe kaka una sifa hizi?

    Duh ! hii ni bahati yangu mimi nilijua nina kilema kumbe upo anaye nitafuta nipe mimi shavu hilo nami nionekane mwanamume:mad2:
  2. G

    Kuachwa...

    Ee bwana hii mbaya sana kama ulimpenda sana matokeo yake huwa mabaya 1)uwezo wa kufikiri hupungua 2)una jihisi kama umetengwa na jamii 3)kama kazi zako zina hitaji umakini mkubwa unaweza kuharibu kazi 4) some time ukikutana na jamaa zako huna raha wanapo kuuliza shemeji hajambo:A S clock:
  3. G

    Liyumba Kuachiwa Huru Leo?

    mh!......haya tutasikia jioni me naogopa:painkiller:
  4. G

    Wivu kwenye mapenzi huboresha au hubomoa penzi?

    Kaka mimi naona huboresha penzi kama mwanamke kakupenda kama mwanamke mwenyewe haja tulia hapo umejisababishia matatizo:glasses-nerdy:
  5. G

    Je, ni urefu au Unene?

    Kaka umepatia je kwa wale wa size ya kati
Back
Top Bottom