Search results

  1. M

    Liyumba afungwa miaka 2 jela

    Acha tule bata huku ughaibuni Tanzania wizi mtupu,haiwezekani billioni 221 achague either miaka miwili au fine,hata kama ni muathirika hasara aliyoingiza ni kubwa mno,one lawyer(state attorney) in Liyumbas case told me kuwa kesi ya liyumba ni maigizo, sasa nimeamini!
  2. M

    Manicure na Pedicure kwa wanaume

    Jamani tuachane na UJIMA kwani kufanya usafi wa kucha ndo ushoga??if he can afford,let him do it hata ikiwezekana afanye na waxing mbona vitu vya kawaida tu siku hizi, he is always smart,ni mfano wa kuigwa.
  3. M

    Kutana na "Michael Jackson" wa Bongo

    dah,kweli jamaa kafanana na michael hata pua ya bandia naye kaweka duh!ila huo mkorogo?
  4. M

    Wazungu washwahili duh

    wataishije mjini bila kujichubua ?nyie mapadesheee ndo mnaopenda totoz nyeupe na wao hawana jinsi zaidi ya kujiloeka kwenye tindikali wafikie viwango vyenu,jamani maisha magumu!but i hate this,why ujichubue ,why why y???
  5. M

    Wazungu washwahili duh

    hahahaaaaaaaaa,mbona wengine sie weusi na tunapendwa tuuu,in fact you have to be proud of what you are ,sio kujikataa na kujichubuua hadi mvuto wa asili unapotea,its sad and i think its because of lil' education and lack of self esteem! shame on them,wangejua wazungu tulionao huku wanatamani...
  6. M

    Jay Dee na Gadner watimiza miaka 5 ya Ndoa

    very nice couple,ni mfano wa kuigwa hapa nnchi na mastar wengine,M ungu awajalie heri na baraka miaka mitano ya ndoa kwa maisha ya sasa si mchezo!
  7. M

    JK: Takrima NGUMU kuikwepa

    mi kila siku ninavyosema tupindue serikali/CCM huwa sieleweki...,tumechoka kufanywa wakimbizi ndani ya nchi yetu na wachache wasio na akili.Tanzania bila vita haitawezekana,we have to get rid of ccm no matter what it costs...:angry:
  8. M

    Tizama ITV online

    me too,nimeipata fresh,thanx
  9. M

    Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

    watu tumejiandikisha tunataka hivyo vitambulisho vyao na sio kupiga kura,nani ana mda wa kupoteza kupigia kura mafisadi?? siku hizi kitambulisho cha mpiga kura dili kweli ,huwezi aminika mahali bila kuwa nacho....ila kura hatupigi unless ccm hawagombei.kwa hiyo hiyo figure hapo isikutishe sio...
  10. M

    Kwanini obama mpaka leo hajaja tz pamoja na safari nyingi za jk us....?

    hahahaa,nimecheka sana.nyie safari za kikwete haziwahusu,pengine mganga wake yupo huko,thats why anaenda kusafisha nyota mara kwa mara!
  11. M

    Nahodha: Iko siku CCM itang'olewa

    na kweli ni wakoloni weusi,watu wachache wameamua kututesa kwenye nchi yetu kwa maslahi yao binafsi,kilichobaki ni kupindua,i will be one of the coup de etat troops,nina hasira sana na CCM,one day i met a close friend of of one young minister... tukiwa safarini,akanielezea ni jinsi gani rafiki...
  12. M

    Kuolewa na Mzungu Tanzania, ni Ticket ya U-celebrity au Njaa?

    mdau hapo juu,una ushahidi gani wa unachokisema,na hata hao uliowataja hapo juu,hamna hata mmoja mwenye njaa mpaka kutoka na mzungu,issue ni true love thats matter,tuache ubaguzi,kwani kuwa na mzungu si kielelezo cha kuganga njaa,au inakuuma jinsi hao wadada wanavyokula bata kwa raha zao?naomba...
  13. M

    Kuolewa na Mzungu Tanzania, ni Ticket ya U-celebrity au Njaa?

    babu kijana,:yuck:,acha kuzengea mali za watu,if you want ingia mkataba nao hao mabint ............
  14. M

    Nahodha: Iko siku CCM itang'olewa

    mimi naona kwa nchi kama Tanzania,hakuna chama wala mtu yoyote atakayeongoza bila kujilimbikizia,hata kama CCM waking´olewa,the next regime itakuwa hivyo hivyo,uzalendo hamna kabsa siku hizi. SOLUTION:Tuwaombe wakoloni warudi kuchukua nchi kwa miaka kadhaa mpaka hapo kutakapo kuwa na equal...
  15. M

    Kuolewa na Mzungu Tanzania, ni Ticket ya U-celebrity au Njaa?

    acheni ubaguzi,coz binadamu woote ni sawa, by late Nyerere
  16. M

    Mkenya kuhukumiwa kwa wizi Michigan

    atakoma,kama huku german wamejazana saana na maisha yao ya shida mnooo
Back
Top Bottom