Jamani msiongee kwa jazba kuhusu huyu ulimboka. Arudi tu kazini. Hii ndio serikali tuloichagua na wakicheza kweli ajira watapoteza, unajua kwa nini sikuhizi tz karibia madaktari 200 wanagraduate... so unafikiri why serikali wanaringa
Lakini ukiangalia, most organization watu hawalipwi vizuri, ni mikopo na watu kujihangaisha huku na kule. Ukisema kwamba ni kidogo sanaaaaa, sikubaliani na wewe. Kuna watu wamesoma vizuri tu na si assistant lecturer ( or level ya masters) mishahara ni midogo tu.
Nakushauri songa mbele na shule, sasa hvi degree moja ni kama form six, every one is having first degree, usijekujutia hiyo nafasi. Watu wengi tunatafuta scholarship
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.