Search results

  1. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Wahusika wa Wizara ya Elimu mnaosimamia Kata, Wilaya, Mikoa na ngazi ya Taifa yaani Waziri, hili suala la shule binafsi za msingi kulazimisha watoto wa darasa la Nne na Saba kulala bweni ni halisi na linafaida kubwa kiwango cha kubadilisha maana halisi ya "Elimu ya Msingi" kuwa la lazima...
  2. StingRay

    Siwaelewi Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, TLS, Tume ya Haki za Binadamu

    NEC hii inawahusu sana.....!!!!! Hivi kabisa kabisa kabisa watanzania pamoja na tunu zetu zooooote tunakubali hili kwa gharama sifuri? Mgombea yupo kwenye kampeni za kiti cha uongozi wa juu kabisa katika nchi hii anaahidi wapiga kura watarajiwa na wananchi kwamba, "Mkichagua upinzani sitaleta...
  3. StingRay

    Ni sahihi kunyimwa maendeleo kwa kumchagua muwakilishi ninayemtaka?

    From now on I hardly hate CCM until my doomsday. Vitisho vimenitisha mpaka nahisi kupasuka kwa hasira, kuchanganyikiwa kwa huzuni na kuzimia kwa woga. Kama Mtanzania niliyezaliwa na wazazi wangu wote wawili Watanzania na nimesoma hapa Tanzania na ninafanya kazi hapa hapa Tanzania: Kwa kifupi...
  4. StingRay

    Nataka kujua kabisa kwamba wanasiasa Tanzania mmeamua haya

    Kwamba viongozi na wanasiasa wa nchi hii ya Tanzania 🇹🇿 mmeamua na kudhamiria kabisa kwa dhamira zenu, kwa utashi wenu na kwa matakwa yenu ku-institute na ku-dictate Kanisa la Tanzania kuhusu nini kihubiriwe na kipi kionywe? Mnaweka mipaka ya kanisa lijihusishe na nini na lisijihusishe na kipi...
  5. StingRay

    Zitto ukatili huu umelelewa kwa kipindi cha miaka 3 tu

    Naandika kwako Mh. ZITTO... Ni kweli message yako inaonesha jinsi ulivyo na maumivu makali sana moyoni , rohoni na akilini mwako. Lakini pia ni hakika hii ni uhalisia wa maumivu ya wengi wapenda Haki, Amani, na Upendo wa raia wa nchi yetu Bila kujali dini, kabila ila Nina wasiwasi kuhusu...
  6. StingRay

    We don't have any strong national policy but a single and a hard-system approach of policy making

    Kataa au usikatae, kubali au usikubali.... alichokibandika kada pompaa wa Chama chao #KiparaKipya kuwa wamejaribu kumvisha nguo lakini yeye mwenyewe kwa ulevi wa "Whiskey" ya hegemony anjivua. Watu kwasasa hawana tena haja ya kujiuliza swali muhimu la kwamba, ni nani yupo nyuma ya haya...
  7. StingRay

    Watanzania bwana, ina maana bado tu hatuelewi?

    I don't mean to hijack your attention ⚠ Hivi ni kweli mpaka sasa kuna watanzania wanaowalaumu viongozi wa upinzani kwamba hawafanyi vile wengi wangependa wafanye, kweli??? Trends zote za kujiuzulu, kuporwa forms, kutosainiwa forms, kukatwa majina ya wagombea, kujeruhiwa, kushtakiwa n.k Kwamba...
  8. StingRay

    Hakuna hata mmoja atakayerudi 2020

    Nina uhakika kwamba wapinzani wa kisiasa waliohama vyama vyao vya upinzani hakuna hata mmoja atakayeteuliwa na Kamati Kuu kugombea nafasi kati ya Udiwani na Ubunge ng'oooo... Yaani huu ndio mwisho wao kisiasa...lengo ilikuwa ni kuwachomoa tu kutoka kwenye vyama vyao na kuwatupa huko na kijiti...
  9. StingRay

    Mjadala wa kitaifa kuhusu elimu sasa haukwepeki

    Sheria inamtaka mzazi kumhudumia mtoto mpaka atakapofikia utu uzima yaani kikawaida kabisa ni miaka18 na baada ya hapo ajitegemee lakini hii ya kulazimishwa kumsomesha mtu mzima hadi chuo kikuu ni sawa au uonevu na uvunjaji wa katiba. Kwakweli wahusika wameshindwa kujibu hoja za msingi wamebaki...
  10. StingRay

    THE SIGNS OF A BECOMING DICTATOR GLOBALLY

    Everything I just read here is very true as it happens somewhere on this Earth, but when will all these end before we all say it is enough now??? 1. Assertions Of An Alternate Reality Via The Press & Propaganda The reality of life under a dictatorship (under Kim Jong Un, for instance) is...
  11. StingRay

    ITV tunaomba kipindi cha kipimajoto kiahirishwe leo

    Haileti maana ya kipindi cha leo kufanyika, tunaomba sana Kafulila hawezi kuzungumza peke yake kwa mantiki moja tu hatutawaelewa mkija kutuambia tahadhari ya kwamba mdahalo huu sio msimamo wa ITV......
  12. StingRay

    Hivi ninyi viongozi mmewahi mujiuliza kwanini mnaapa kwa vitabu vya dini zenu?

    Samahani naelekeza bandiko langu kwa kuegemea zaidi nyaraka za kikristo. Haya mtuambie kwanini huwa mnaapa kwa kushika vitabu vya dini kwa wakristo Biblia Takatifu? Kwanini mnafananisha Dini zetu na vyama vyenu hivyo vya siasa? Kwanini mnataka kutudhalilisha waumini na viongozi wetu? Kwanini...
  13. StingRay

    Natafakari kuhusu kesi na vifungo vya uhaini Tanzania

    Watanzania wenzangu nimekuwa natafakari yanayoendelea nchini na ubabe wa kisiasa ndani ya nchi yetu,nashawishika na yafuatayo; - Kamatakamata ya walengwa wa mkono wa dola na - Mauaji ya wanaonekana wachochezi yakipungua na - Mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa kuwepo huru na - Maandamano ya wananchi...
  14. StingRay

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari??? Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani...
  15. StingRay

    HAYA MADUDE YANAFANANA TABIA ANGALIA UTAONA

    Yaani hii kitu inauma mpaka unahisi damu imebadili mwelekeo mwilini. Ukiangalia kwa undani haya majitu yaliyo kwenye ncha ya jamii zao katika nchi za BRUCT unayaona kama yamekubaliana mambo fulani mpaka matabia yao yanafanana. Kwanza yanajifanya ni MAKOBE yaani yapo ndani kuzuga kama kama...
  16. StingRay

    At least TPDF is not yet compromised

    Inafika wakati unakata tamaa mpaka unatufuta kwa nguvu kitu cha kujifariji ndani ya nchi Huru kama yetu. Watanzania tumshukuru Mungu kwamba tumebakiwa na chombo kimoja tu tunachopaswa kuendelea kukiheshimu na kukiamini.....nacho ni Jeshi letu la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania yaani JWTZ (TPDF)...
  17. StingRay

    Hakika mama Samia na Mhe. Kassim Majaliwa hampo hivyo lakini...

    WanaJF naomba kwa namna ya pekee kabisa niseme tu kwa IMANI naamini kabisa Makamu Wa Rais Mama Samia na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hamna mkono katika mabaya na ukatili unaoendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu hasa ya Siasa, Uchumi na mengineyo. Na pia nina hakika kwamba mnaumia sana...
  18. StingRay

    Mh. Makamba angalia bonde la Usangu linaharibika kwa kasi ya ajabu

    Sina mengi ni hilo tu maana sijui hamuoni ?????
  19. StingRay

    Sakata la Lissu: Kwanza tunamchangia kwasababu kuu ya utu na utanzania wake.

    Hii regime imeshindwa kutambua alama za wakati huu na hasira za wananchi kwasasa, uwelewa wao ni kiwango cha juu na cha kuridhisha. Na ndio maana viongozi waliokwishatoa matamko hawaoni jinsi Watanzania hawa wenye uelewa wanavyosikitikia matamko hayo. Watanzania tumeanza, tunaendelea na...
  20. StingRay

    Tukio la kupigwa risasi Lissu: Nashauri kama mpenda mabadiliko tufanye hivi

    Naandika nikiwa na maumivu makali sana ya moyo na roho yangu kiasi cha kutenda dhambi ya kukata tamaa ya kuishi Tanzania. Kwanza niweke wazi tu mimi ni Mnyaturu na ninatoka Ikungi nimeumia sana sana kupita mfano wa kibinadamu. Pia lakini inaumiza kuiona taa yetu tuliyoiamini inawaka kwa faida...
Back
Top Bottom