Search results

  1. R

    Hivi kwanini Wajaluo wakigombea uongozi Serikali ya CCM inasema si raia?

    Hii imemtokea wenje mwanza mwaka 2010, kibaso temeke, mpaka sasa kuna jamaa alikuwa anawania uenyekiti Wa mtaa iringa kupitia CHADEMA, wamemrudisha mzobe mzobe mpaka kenya na jamaa kawambia kwetu ni hapa musoma hawakumwelewa uhamiaji. Swali serikali haipendi Kabila la wajaluo au tatizo kugombea...
  2. R

    Polisi Geita wasweka Wananchi ndani kwa kwenda kumwona Mkuu Wa Wilaya

    Jana siku ya ijumaa wananchi kitongoji cha katoma waliandama hadi kwa mkuu Wa wilaya wakilalamikia masahibu wanaypota toka mgodi Wa ggm iliyoko geita . Maandamano hayo yamesababishwa baada ya mtoto kufia kwenye mashimo yaliyoko kwenye eneo la mgodi karibu kabisa na makazi ya watu... Baada ya...
  3. R

    Wanachadema wasio imara kwenye chama mnajitambua kweli ??

    Kwanza kabisa namshukuru mungu kwa kunijalia kuwa mzima siku ya leo ,sina cha kumpa zaidi ya wema wake.leo mimi kama mwananchi Wa kawaida napenda nitoe wito kwa wanachama Wa chadema popote mlipo ndani ya tanganyika pamoja na unguja na pemba Mnakibarua kikubwa sana katika kipindi ichi kuelekea...
  4. R

    Kwanini Tume ya Uchaguzi inapuuza malalamiko haya kila chaguzi?

    Kila uchaguzi unapofanyika iwe ni ya urais,ubunge na madiwani hapa nchini kuna malalamiko majina ya watu kutoonekana vituo vya kupigia kura,hili suala ni la muda mrefu lakini tume ya uchguzi haitfutii ufumbuzi kwa nini ?jambo la pili kuna hili la ccm ktumia mabalozj wake kuorodhesha majina ya...
  5. R

    Kwanini vyombo vya habari vinatangaza CCM zaidi kuliko vyama vingine?

    Nimeamua kujiuliza hivyo kwasbbu asilimia ya habari inayohusu siasa ya vyama ccm inatangazwa na vyombo vya habari nchini kwa asilimia 80%,CHADEMA asilimia 15% ,cuf 3% nccr 1% na asilimia 1% iliyobaki ni hivyo vyama vyote vilivyosalia. Najiuliza sasa kama vyombo vya habari tv,magazeti na...
  6. R

    Wapinzani mmejipangaje kupokea matamko haya 2015?

    Habari wapendwa watanzania wenzangu mpo salama? Nimeamua kuleta huo mstari kutokana na tabia ambayo imeanza kujengeka nchini kuwa kilA inapokaribia uchaguzi mkuu Wa urais,ubunge na udiwani vyombo vyetu vya ulinzi kwa maana ya polisi na jeshi kwa misimu miwili mfululizo. Tuliona 2005 igp...
  7. R

    Hivi ccm bila ya wakurugenzi na polisi inaweza shinda chaguzi kihalali kbsa !!

    Wadau nimeamua kusema hivyo kwasbbu unakuta daftari la wapiga kura wanashinda nalo miaka 4 ofisini kwao,,pili ikifika wakati wa kutangaza matokeo mf ya urais akishapokea matokeo kiujumla kuwasilisha dare salaam kwa tume unakuta muda huo anatangza mwenyewe bila ata mawakala Wa vyama kuwepo,na...
Back
Top Bottom