Search results

  1. J

    Mgombea CHADEMA awatolea wenzie bastola

    Kada wa CHADEMA DAUDI NTINONU leo majira ya saa sita mchana nusura ampige risasi Kiongozi wa Vijana wa Mkoa wa Geita aitwaye Neema Chozaile. Ntinonu ambaye alikuwa ameongozana na Diwani viti mahalumu wa Nyamagana Bi Neema Mafuma na Elikana Paschael ambae ni mtumishi wa Mwenyekiti wa CHADEMA...
  2. J

    Mpango mkakati wa kuihujumu CHADEMA katika jimbo la Nyamagana

    Ndugu wana CHADEMA na viongozi wa Chama kutokana na vuguvuga la kuwaondoa machinga katika Jiji la MWANZA ukurasa huu ulilazimika kufanya utafiti juu ya hilo sakata. Katika kufanya uchunguzi ukurasa huu umebaini mambo mengi kama ambavyo nita yaelezea hapa chini. .1.Oparation hiyo imefanyika huku...
Back
Top Bottom