Kutokana na tukio la jana kule Mwanga,
nashauri mheshimiwa EL atumie Helkopta kwenda kwenye viwanja
vya mikutano anakotarajiwa kuhutubia wananchi.
Upenzi kwa ndugu yetu EL unaweza kutumiwa vibaya
na maadui zake,kuleta vurugu ili mikutano isifanyike.
nawaomba wapenzi wote na wananchi kwa ujumla...
VUTA-NKUVUTE
Mgombea wa ccm aliahidi kutofanya kampeni za kuchafuana,
je wameamua kumuasi hata kabla kampeni hazijaanza?
Na je lowasa akiwavua nguo zaidi itakuwaje?
maana katika list uliyoitaja hakuna aliyewahi kuwa karibu
na ikulu kuliko lowasa,ukombozi wa tanzania tuitakayo umekaribia.
Poleni sana,Mungu ni mwema atawasaidia.
Huyo mama nashauri atafutwe asadie polisi
Haya mambo yameanza na mzee mwenyewe
yanaweza pia kuhatarisha maisha ya huyo
mwanae aliyemlithisha nyumba,
Naomba vyombo vya dola vimfuatilie huyo
mama na wanunuzi wa nyumba ili kujiridhisha.
Mkuu kama vile ulikuwepo moyoni mwangu,binafsi nimeshajua ukiona
kitu kinapingwa na watawala ujue hicho ndo sahihi.
EL mimi nilianza kumpenda kwa kasi pindi walipoanza kumuandama kwamba ni fisadi
wakati Mramba na Yona ndo wameshtakiwa na kufungwa na huyu Bwana yupo huru
tena anawaomba wamshtaki...
Mkuu umesema Ukweli,habari za kujifariji na misemo
kama vile oil chafu,makapi n.k
ni mdhaa ambao unabomoa nyumba msimu wa kiangaziambayo
utaikumbuka mvua ikianza kunyesha msimu wa masika,
Ushauri wangu ni kwamba muongeze nguvu
ya usingizi,ili hiyo oil chafu imwagikie suti nyeupe
ndo mziki wake...
Mh.Mbowe nio mpinzani wa ukweli,anajua siasa
ukiangalia Mwl.Nyerere katika kudai uhuru
alitumia mpaka vilabu vya michezo lakini katika uhai
wake sikuwahi kumuona uwanjani amevaa jezi ya mpira
lakini alijua siasa ni watu na alijua kutumia hisia za watu
kupata kuungwa mkono,Mbowe ametambua siasa...
Koromeo ubarikiwe,Thread yako ina maana sana.
Hivi leo mabinti wengi wanakaribia kutupita
sisi wanaume,kwa kujitoa muhanga kujishughulisha
wakati wanaume wanaona soo,eti watachekwa.
Binafsi naona ni heri uchekwe ukitumia nguvu zako
kutafuta kipato,kuliko kuchekwa unapoenda mahali kuombafedha...
Ndugu mimi nadhani hii kauli mbiu ya utii wa sheria bila shurti
inatumika kwa raia na si kwa polisi.
Kuna sheria nyingi za haki ya raia zinavunjwa na polisi
hasa wa usalama barabarani,na ukitaka akuonyeshe kazi
onyesha kwamba unajua haki yako,hapo ndo utamtambua polisi ni nani.
Nimekuwa...
Mkuu si wametoke kipande ile inaitwa ''nyonya damu'' unatumiwa tuu heshima unapata
siku ya mazishi,ndo utasikia sifa kemkem,sasa wamejiunga na ukombozi.Peoples' poweeeeer!
Mkuu UKAWA haifi,cha msingi ni sisi wananchi kumpa kura mgombea wa ukawa,
ili aingie madarakani,na huo utakuwa mwisho wa mapandikizi
yaliyopandikizwa kutulaghai tudhani kuwa ni wapinzani
kumbe ni mawakala,sasa wameona kweli chama chao kinan'goka
wameanza mizengwe ili tuteteleke.Kweli mwalimu...
Mamuluki woote
wameishaona moto mkubwa,wanaogopa kunybanikwa,bila kunyonyolewa,
si mliwaweka mkidhani wataendeleza ukoloni mambo leo huku
wakitulaghai,asante Mungu kwa kutupatia Mbowe.
Serikali ya ccm ilituamisha kwamba mabepari ni wabaya,leo hii imewasafisha wanaitwa wawekezaji,
wamekabidhiwa njia kuu ya kumiliki uchumi wa nchi,sasa kuna ubaya
gani CDM kumsafisha Lowasa ambaye ni mtanzania wa kuzaliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.