jamani tuwe na hofu ya mungu, mleta uzi ni TAPELI 100% leo nimeenda game supermarket ya mliman city nakuonana na wahusika, majib ni kwamba HAWAJATANGAZA POST HIZO. Haya ndugu yang mleta mada umetoa wap hiz taarifa? jaman tuwe makin humu jf. Haibiwi mtu imekula kwako jipange upya mkuu ulete uzi...
Habar wakuu,
Kiwanja kinauzwa kipo mbezi luis mita chache kutoka stend ya daladala, kinaukubwa wa mita 25x30 umeme na maji vyote vinapatikana.
Bei milioni kumi na nne. kwa mawasiliano zaidi piga namba 0712621693 au 0769675352.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.