Search results

  1. N

    Dereva yeyote atakayekamatwa anatumia simu huku anaendesha gari kufutiwa leseni ya udereva

    Dereva atakaye kamatwa akiendesha gari huku akiongea na simu atafutiwa Leseni yake. Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya usafiri wa Nchi kavu na Majini SUMATRA limeanzisha mkakati wa kuwafungia leseni madereva watakaobanika kuendesha magari huku wakiwa...
  2. N

    Shamba la Kukodisha Linapatikana Ruvu Watu Serious Wanatakiwa

    Shamba lipo linaukubwa wa kutosha maji kibao kama unataka plz ni pm tuelewane bei ni ndogo karibu na bure. waweza lima mazao ya mbogamboga, mazao ya biashara na nk. Nawasilisha
  3. N

    Natafuta mtu serious tufanye kilimo, shamba kubwa lipo Ruvu

    Kama nilivyo dokeza hapo kwenye heading yangu ni kwamba natafuta mtu ambaye yuko serius and committed ili tuweze kufanya naye kilimo cha biashara (agribusiness); tutaanza na kilimo cha mazao yanye kutoka haraka na yenye faida ili tuweze kutengeneza mtaji wa kufanya kilimo kikubwa na kama...
  4. N

    Je? Wajua kuwa Dr. H. Mwakyembe ni waziri makini na hodari

    ​​​Tangu nimfahamu Dr Mwakyembe kwenye ngwe ya siasa nimekuwa nikimfuatilia sana kwa ukaribu na mwishoe kumalizia kusema kuwa huyu ndiye kiongozi tunaye mhitaji Tanzania ya leo na jua haya maneno yamekushtu tuliza munkali Dr Mwakyembe ambaye ni mbunge wa Kyela amekuwa mzalendo...
  5. N

    Kukamilika kwa hili hakika sitomsahau dr h. Mwakyembe kwa uchapakazi na uzalendo kwa nchi yake

    ​Kwanza ningependa kumpongeza kwa uzalendo mkubwa alionao kuweza kufanikisha usafiri wa treni ndani ya jiji la Dar es salaam ijulikanayo kama (Treni ya Mwakyembe) na kubwa zaidi ni hili la Idhini ya Benki ya Dunia ya hivi karibuni ya dola milioni 300, fedha za kusaidia miundombinu ya reli...
Back
Top Bottom