Search results

  1. N

    Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    Kiongozi naomba kuja kujifunza ninasoko kubwa la mazao kwa mawasiliano zaidi ntmgenesis@yahoo.com ili tupeane contacts.
  2. N

    Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    Kiongozi mambo naweza jiunga bado na hichi Kilimo cha contract naomba tuwasiliane kwenye email ntmgenesis@yahoo.com
  3. N

    Msaada: Kiwanda cha kutengeneza toothpick Tanzania

    Kaka mambo vipi umeisha fungua kiwanda.
  4. N

    Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

    mkuu MIM NILIKUWEPO WAKATI HUYU BWANA ANAPIGWA HILI SWALI CHA AJABU KUNA KITU MEMBE AMEKIONGEA HAWA JAMAA HAWAJA ANDIKA KUMUOKOA HUYU JAMAA YAO CONCEPT YA " DEPT SWAP" ILIZALIWA BAADA YA KUSEMA SERIKALI YA TANZANIA ILIIPA SERIKARI YA LIBYA HOTEL MAARUFU YA BAHARI BEACH ETI KUPUNGUZA DENI SASA...
  5. N

    Mwakyembe umetusaliti

    Mwl JK Nyerere "Hatutamchagua mtu kwa sababu ya kabila lake", hakuishia hapo akaongeza pia "hatutamkataa mtu kwa sababu ya kabila lake" Tuchague viongozi kwa sifa zao TUWE MAKINI SANA NA WATU WANAOANGALIA UDINI NA UKABILA NI WAKUOGOPWA.
  6. N

    Mwakyembe umetusaliti

    jamani MIMI MTU WA HUKU KASKAZINI KIUKWELI DR MWAKYEMBE NI WA UKWELI HANA UTANI NA MTU NA UKWELI UNAJULIKANA JAMAA NI MCHAPA KAZI PROF MWANDOSYA AMEPOOZA SIYO KAMA SIKU ZA NYUMA SIJUI ANAUMWA BADO? ILA CCM WAKIMUWEKA DR MAENDELEO YATAONEKANA ANGALIA UCHUKUZI NDANI YA MIAKA MIWILI TU, NENDA EAST...
  7. N

    Hawa ndio vibaraka wa Edward Lowasa miongoni mwa waliochukua fomu kuomba ridhaa ya CCM urais 2015

    du WEWE NOMA UMEAMUA KUGEUZA MADA AU ULIKUWA UMEKUNYWA NAOMBA NIKUKUMBUSHE HEADING YENYEWE "DR MWAKYEMBE, DR SLAA HAWA NDIYO TISHIO KWA LOWASA" umekumbuka mzee.
  8. N

    Mwakyembe uwe na aibu!

    wewe MWENYEWE UNAOMBA UKU UNANGALIA NYUMA UNAONA AIBU KWA SASA EDO LWS ANARUDISHA PESA YETU SIS WALA HATUANGAIKI NAE ILA CHAMTEMAKUNI ATAKIONA THIS YEAR.
  9. N

    Mwakyembe uwe na aibu!

    alafu MTOA MADA UWE UNAFIKIR ATAKAMA UMEONGWA KUFANYA HII KAZI UNAMTAKA DR MWAKYEMBE AWE NA AIBU KWANI KAMSEDUCE MAM AKO WE NDY UWE NA AIBU KUTAKA KUMCHAFUWA KIONGOZI TENA WAZIR WA NCHI HUOGOPI JERA HAYA ENDELEA CAMPAIGN ZA UCHAGUZI BADO LKN.
  10. N

    Mwakyembe uwe na aibu!

    Jaman sinakipingamizi na dr mwakyembe sipati shida hata kumuongelea kama watangaza nia wengine uwazir ndani ya miaka miwili tu amefanya remarkable job eac miezi tu rais wa rwanda kagame kawa ndugu yetu na eac yote inatuheshim nchi kuelekea kipato cha kati tunaitaji mtu mtekerezaji mzarendo...
  11. N

    Dr. Harrison Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Acha ujinga wewe unaonekana upo sharrow majibu muulize Kafulila Dr Mwakyembe alisha maliza na aliunda mpaka tim ya kuchunguza ikisaidiana na Takukuru rete jingine.
  12. N

    Dr. Harrison Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sijaona zaidi yako Dr Mwakyembe sasa ata wenye magonjwa ya kutetemeka wanahaha.
  13. N

    Dr. Harrison Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Jamani waTZ kumbukeni Ata Kagame alikuwa adui yetu lkn umeenda EAC kilamtu lafiki yetu akuna maadui nchi ina amani Dr Mwakyembe sina Shaka na uwamuzi wako wewe ndiye Rais wetu.
  14. N

    Dr. Harrison Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Endelea kuishi kwa hisia mwishowake utauona jembe limeingia huyu ndiye Rais Sina mashaka Dr Mwakyembe okoa jahazi.
  15. N

    Ukweli kuhusu mabehewa ya TRL badala ya ya kumchafua Mwakyembe

    Mzee wa kasi na viwango kwenye kualibu kaanza na EAC kaalibu sana Akamia kwenye katiba karibu sana mpaka hata vitoto vidogo vinalalamika hii kasi ya huyu babu mbona ndivyo sivyo Sasa naona amekuja kuuwa uchukuzi, Mwakyembe kafanya kazi nzuri ndani ya miaka miwili lkn mzee wa viwango na kasi...
  16. N

    Wapi naweza kupata shamba kubwa ekari 500-1000?

    Mkuu kama upo serious nitafute kwenye hii adress ntmgenesis@yahoo.com upate shamba zuri.
  17. N

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Naomba bei kwanza tutaongea kila kitu usiwe na haraka mkaa unaitajika haraka.
  18. N

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Mkuu mie naomba bei kwa DSM itakuwa kiasi gani nahitaji gunia 100 kila week serious.
Back
Top Bottom