Search results

  1. Chademakwanza

    Meya wa Jiji la Dar akanusha taarifa zinazoenea mitandao ya kijamii

    Ameyasema haya kwenye Ukurasa wake wa Twitter.
  2. Chademakwanza

    Hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani bungeni katika wizara ya maliasili na utalii

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2015/16 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA...
  3. Chademakwanza

    Ukimya wa Rais Magufuli Ufisadi wa Trillion 8 za Wafanyakazi Wastaafu

    BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UKIMYA WA RAIS MAGUFULI UFISADI WA TRILIONI 8 ZA WAFANYAKAZI, WASTAAFU Ndugu waandishi wa habari, tunapenda kuwashukuru kwa kuitikia wito huu wa kukutana nanyi...
  4. Chademakwanza

    Taarifa: Upokelewaji wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Jijini Dar es Saalam

    CHADEMA kinawataka wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake kuwa na subira ya kutambulishwa rasmi kwao Katibu Mkuu wa Chama, Dkt. Vincent Mashinji aliyechaguliwa na Baraza Kuu wiki iliyopita jijini Mwanza. Aidha, Chama kinawaomba wadau, wanachama, marafiki na washabiki kujiandaa kutoa...
  5. Chademakwanza

    Katibu Mkuu CHADEMA kuanza kutoa mafunzo kwa viongozi wote wa chama

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma kuwa chama kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu kimeanza kutekeleza mpango wa mafunzo kwa viongozi wa chama, wabunge pamoja na madiwani nchi nzima ili kutimiza kiu ya MABADILIKO kwa Watanzania, ikiwa ni moja ya maazimio ya...
  6. Chademakwanza

    BAVICHA, Wampongeza Mh. Mbowe kwa Baraza la Mawaziri kivuli

    Kwa niaba ya Bavicha Taifa Tunakupongeza na Hongera sana, Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) Hon. F. A. Mbowe - Mp kwa kuteua serikali mbadala/kivuli makini, tunawaomba sana Mawaziri na Manaibu wote mlioteuliwa mzitendee haki nafasi mlizopewa, onyesheni kwamba UKAWA (CDM,CUF&NCCR) ni serikali...
  7. Chademakwanza

    Viongozi wa Chadema Mkoa wa Rukwa waomba kurudi madarakani

    Ni kutoka moja kwa moja ndani ya ccm Arusha mjini. Kuna mbinu ya kuwakataza baadi ya wananchi wa Jimbo la Arusha kutopiga kura kwa kisingizio siyo wakazi wa eneo usika hata kama watakua na kitambulisho cha kupigia kura na pindi wananchi watakapo kuwa wakali kwanini wanakatazwa kupiga kura polisi...
  8. Chademakwanza

    Ufafanuzi wa Upigaji Kura UKAWA

    Ufafanuzi Jumla ya Wabunge wa Vyama vinavyounda UKAWA wako 113, hawa ni wabunge wa Majimbo na Viti Maalum. Waliosajiliwa hadi sasa kwenye Kambi ya Upinzani Bungeni ambao ndiyo waliingia ukumbini kupiga kura leo wakati wa kupiga kura kumchagua Spika wa Bunge walikuwa 109. Kwa namna ya kipekee...
  9. Chademakwanza

    Kutoka Viwanja vya Soko Kuu Arusha ufunguzi wa kampeni za CHADEMA

    Niko kwenye viwanja vya Soko Kuu Jijini Arusha watu wameshaanza kuja na wana morari na cha chao CHADEMA nitaendelea kuwaletea matukio yote moja kwa moja kutokea Jijini Arusha.
  10. Chademakwanza

    Makada Mmekumbuka Shuka Wakati Jua Limechomoza

    Nchi hii imenichukua miaka 23 kuisoma tabia ya wanaccm ,kadri ya siku zilivyosonga ndipo nilipokubaliana na kauli ya Yesu kristo kuwa"ufalme hauwezi kujifitisha" Wakati tunamwingiza Rais jk Madarakani tuliambiwa chaguo la Mungu,kijana na anajua shida za vijana na watanzania. Kikwete...
  11. Chademakwanza

    CCM yakwama kuihujumu CHADEMA Morogoro

    Na Bryceson Mathias, Morogoro. MBINU na Mizengwe ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kihonda Morogoro, kimekwama kuuhujumu Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa madai Mgombea wa Chadema, Elizeus Rwegasira, kwamba hana Mke, wakati ana Mke na watoto watatu Sekondari...
  12. Chademakwanza

    Baraza La Vijana CHADEMA (BAVICHA), Wazungumza na Wanahabari

    Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) leo kuanzia saa 7 mchana watafanya Press na waandishi wa habari, Makao Makuu ya CHADEMA. =================================== Magazeti ya Leo yameandika hivi;
  13. Chademakwanza

    Katibu Mkuu wa CCM Asema Lowassa nimsafi na anafa kuwa Rais wa Tanzania

    Habari kamili kwa Hisani ya gazeti la Mwananchi
  14. Chademakwanza

    Baada ya Marehemu Edward Moringe Sokoine Kumkosa 1984, Historia imejirudia Lowassa

    Baada ya Marehemu Edward Moringe sokoine kumkosa1984, Historia imejirudia Edward Ngoyai Lowassa! Ni kipindi kirefu kipenzi cha watanzania,kutoweka Tanzania.kiongozi wa watu aliyekaa na watu aliyeumia na watu aliyechukia rushwa,uzembe,na umaskini. Aliyechukia utajiri wa ghafla ambao leo ccm...
  15. Chademakwanza

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Salum Mwalim (katikati) Frorian R Mbeo(Kulia) mwakilishi wa katibu Mkuu wa NCCR, Tozzi Matwanga (Kushoto) katibu mkuu NLD. Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa Tarehe 10/8/2015 Mgombe urais kupitia CHADEMA na UKAWA Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma...
  16. Chademakwanza

    Adui kukuchagulia silaha anakuwa amekuona mpumbavu

    CCM ghafla imekuwa swahiba wa Dr.Slaa na kumpigia kampeini awe mgombea wa ukawa kwa maneno ya ushawishi na upendo kwa Dr.Slaa wakichombeza kuwa chama kimemsaliti. CCM wanajifanya werevu kuliko CHADEMA kwa kujifanya wako kinyume na msemo wa "adui hukuombea njaa. Wao CCM wanajifanya wema kwa...
  17. Chademakwanza

    Update kutoka UKAWA

    Tutaweka live update Mgombea URAIS UKAWA mda wowote sasa hivi kutoka kwa Tumaini Makene au Chadama kwanza wasemaji wa UKAWA STAY TUNE
  18. Chademakwanza

    Mkutano wa BAVICHA Wilaya ya Chunya

    UNAKARIBISHWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA BAVICHA WILAYA YA CHUNYA-CHADEMA. MUDA; SAA NANE MCHANA. SIKU;02/08/2015. UWANJA WA SABASABA CHUNYA MJINI! Wako; MWAKIBINGA,PHILIPO. (MRATIBU BAVICHA(W)) UKAWA TUMAIN LETU.
  19. Chademakwanza

    Mkichagua CCM Watanzania Maskini Mjiandae Kuumia

    " Watanzania kindakindaki mliozoea kuchagua kwa mazoea ya kupokea hongo nyakati za usiku ccm namabalozi wao mjiandae kwa mambo haya: * Kuchangishwa hela ya madawati,maji,taaluma,ulinzi,vitabu mashuleni. * Mjiandae kufukuzwa kwenye ardhi zenu,viwanja vyenu, *Mjiandae kukosa dawa,tiba...
  20. Chademakwanza

    CCM Yaongoza kwa Rushwa Tafiti Data Point

    Tasisi ya Data point imetoa matokeo ya Tafiti yake ya vyama vya siasa na CCM imeongoza kwa kutoa na kupokea rushwa kwenye chaguzi zao za ndani na kutofuata katiba yao kwa sababu mbalimbali
Back
Top Bottom