Search results

  1. Chademakwanza

    Meya wa Jiji la Dar akanusha taarifa zinazoenea mitandao ya kijamii

    Ameyasema haya kwenye Ukurasa wake wa Twitter.
  2. Chademakwanza

    USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

    Asante Kamanda kwa kutuulizia tupo tunakuja namipango mipya kwa maendeleo ya wote. Stay tune CHADEMAKWANZA
  3. Chademakwanza

    Mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

    Kila la Heri kwenye Mahafali
  4. Chademakwanza

    Namna upinzani wanavyoweza kufikisha ujumbe kwa wananchi bila kufanya mikutano ya hadhara

    Asante tumelipokea tunalifanyia kazi Chademakwanza
  5. Chademakwanza

    Halimashauri ya CHADEMA Arusha imemshinda Moris Makoi ambaye ni diwani wa CCM Moshi vijijini

    Hongereni sana Makamanda wa Jijini Arusha siyo kosa lako umeshatumia ile dawa yenu inayowapotezea network
  6. Chademakwanza

    Hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani bungeni katika wizara ya maliasili na utalii

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2015/16 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA...
  7. Chademakwanza

    CHADEMA Acheni kuwahonga Wahariri na Waandishi kuandika Propaganda za Uongo

    Mleta thread unahuwakika na Unachokiongea au unaongea ili ujulikane upo? Kitengo cha habari chadema tupo makini na hatuwezi fanya huo ujinga hata mara moja ni vema kabla ya kuongea ukauliza kwanza. Asante
  8. Chademakwanza

    Kamati Kuu ya CHADEMA, itakutana Mjini Dodoma katika kikao chake kuanzia Mei 12-13

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kuwa Kamati Kuu ya Chama itakutana Mjini Dodoma katika kikao chake cha kikatiba kuanzia Mei 12-13, chini ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe. Kikao hicho, pamoja na masuala mengine, kitajadili kwa kina...
  9. Chademakwanza

    Ukimya wa Rais Magufuli Ufisadi wa Trillion 8 za Wafanyakazi Wastaafu

    BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UKIMYA WA RAIS MAGUFULI UFISADI WA TRILIONI 8 ZA WAFANYAKAZI, WASTAAFU Ndugu waandishi wa habari, tunapenda kuwashukuru kwa kuitikia wito huu wa kukutana nanyi...
  10. Chademakwanza

    Ushauri kwa UKAWA juu ya shughuli za Bunge

    Asante kwa Ushauri tutafanyia kazi
  11. Chademakwanza

    Taarifa: Upokelewaji wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Jijini Dar es Saalam

    CHADEMA kinawataka wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake kuwa na subira ya kutambulishwa rasmi kwao Katibu Mkuu wa Chama, Dkt. Vincent Mashinji aliyechaguliwa na Baraza Kuu wiki iliyopita jijini Mwanza. Aidha, Chama kinawaomba wadau, wanachama, marafiki na washabiki kujiandaa kutoa...
  12. Chademakwanza

    Katibu Mkuu CHADEMA kuanza kutoa mafunzo kwa viongozi wote wa chama

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma kuwa chama kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu kimeanza kutekeleza mpango wa mafunzo kwa viongozi wa chama, wabunge pamoja na madiwani nchi nzima ili kutimiza kiu ya MABADILIKO kwa Watanzania, ikiwa ni moja ya maazimio ya...
  13. Chademakwanza

    Kigwangalla usipotoshe kuhusu Katibu Mkuu Dkt. Mashinji

    Tena ni Jambo la kushangaza sana mtu mzima tena msomi tena waziri kupotosha
  14. Chademakwanza

    Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

    Asante Kamanda Habari za siku? Tupo Mwanza stay tune kwa live coverage Kamanda
  15. Chademakwanza

    Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

    Tutawaletea Moja kwa Moja tukio hili Maana ndio chama pendwa kwa Watanzania
  16. Chademakwanza

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Leo Ndio yale yote yanayofanyiwa figisu figisu na ccm yanapata dawa stay tune tutawaletea tuu
Back
Top Bottom