Search results

  1. mkorinto

    Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Na hakuna mwerevu anayejitangaza,ukiomuona muwekee mabano.
  2. mkorinto

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Uzuri ni kwamba ukiishavuka maji kuja kuishi huku na akili zinafunguka,huwezi kuwa na akili ndogo kama huyo kunguni.
  3. mkorinto

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Hiyo siasa usije iamini tena,china wametupa silaha mwaka 60 na zinatumika mpaka leo. Inawezekana kabisa hakukuwa na data sahihi za uchumi kuwahusu.
  4. mkorinto

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Manka aliruka akakataa utadhani ni kitu cha ajabu.
  5. mkorinto

    Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Nawewe mtaje kwa ovu lake lolote ukaendelee kuteseka ukiwa kwenu.
  6. mkorinto

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Mpendwa wewe umejuaje sasa??
  7. mkorinto

    Kampuni za Mawasiliano na ukiukwaji wa haki za mteja Tanzania

    Kuna siku nimeacha 1000 vocha ktk line,nakuja kucheki baadae kuna 940,nikapiga huduma kwa wateja naambiwa umejiunga na huduma za sport,eti niwe napata updates za michezo,nikamuuliza lini mimi nimejiunga na hiyo huduma??nayeye akahamia ktk swali,vipi unataka kujitoa??nikamjibu ishu sio kutoka...
  8. mkorinto

    Tumefikia huku? kwamba mzazi anapata taarifa ya kifo cha mtoto kwenye soshomedia?

    Ni tatizo. nimetoka kumsikiliza mtoto wa marehemu CDF wa kenya,nayeye analalamika na blog vibungo,kwamba taarifa ya kwanza kuiona ni video ya helkopter ikiteketea kwa moto, na maelezo kwamba ilikuwa ni ya jeshi imebeba CDF. Sheria ya matumizi ya mtandao inatakiwa kuboreshwa,watu wanatumia hata...
  9. mkorinto

    Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Ili wajinga wajinga wajitathimini,si unaona wewe hapa,hujisikii raha kabisa maana jamaa kafa na bado anatajwa tajwa.
  10. mkorinto

    RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

    Huwa mna mtabiri sana lakini huyu mtu si kwamba kathibitsha tu hatabiriki,ila inaonekana kabisa ana kitu cha tofauti na vijana wengi wanachokiona wanaomteua tu. Nasisitiza vijana wenzangu,kuwa wakweli hadharani na sirini,kuwezi waaminifu kwa walio waamini,na hakikisheni mnakuwa na utu kama...
  11. mkorinto

    Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

    Awataje hao wapinzani sasa,maana wapizani wenyewe wana taatifa tofauti kuhusu magufuli.
  12. mkorinto

    Usiyoyajua kuhusu Kylian Mbappe

    inakuwa ni mwendo wa kupop shampaigne na shout out kubwaaa"kaka ake wa kwanza na mbappe hapa"🤣🤣🤣
  13. mkorinto

    Usiyoyajua kuhusu Kylian Mbappe

    Huwa nawaza hivi angekuwa hata mdogo wangu huyu,nikamwomba mtaji akaamua tu kutoa lawama anipe kaka yake bilion 2 za madafu ili nisimsumbue tena😅😅😂😂😂. Aaaaaah mawazo yetu tusio na hela huwa ni kupewa pewa tu.
  14. mkorinto

    Usiyoyajua kuhusu Kylian Mbappe

    Euro 6milion=18bln madafuz Ni humo humo jamaa hajakosea.
  15. mkorinto

    Live coverage Azam ni mbaya

    nadhani kutakuwa na gharama zaidi kurusha stream angavu zaidi,hapa tunakaa 720 kwa HD,huku kwingine ni mwendo wa 340,tbc nadhani wanatupiga 144.
  16. mkorinto

    Bahati haijirudii mara mbili TID huu ndo mda wako

    wasanii wengi huwa nawaona ni watu wenye akili nyingi sana hata wakiwa wanaongea,shida huwa ni kukosa usimamizi tu.
  17. mkorinto

    Upendeleo wa Jeshi la Polisi kwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Faris Buruan

    Iko hivyo duniani kote,tofauti tu ni kwamba hapa kwetu ccm hakuna cha maana imefanya. Huyo mwenyekiti wa uviccm yuko karibu sana kuwa rais kuliko huyo RPC,sababu chama ndicho kinaamua nani awe rais.
  18. mkorinto

    KERO Polisi Mtwara acheni tamaa mnatukwamisha, sisi pia tupo kazini na tuna familia

    kila mwananchi akiwa na mtizamo huu,basi hakuna maana ya maisha. kila mwananchi akiwa serious na haki zake uonezi utapungua,yaani unatoa mwenyewe elfu 5 kwa uoga wako,halafu unaanza kulalamika traffic wana njaa!!!!
  19. mkorinto

    Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Bado unaamini kuna watu wanapata laana kwenye hela😁😁. Viongozi wote wa ccm wangekuwa vichaa,tafuta hela kaka.usiue mtu tu
Back
Top Bottom