Search results

  1. W

    Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

    Mmmmh!! kazi ipo.
  2. W

    Kununiana katika mapenzi

    Yaani Harufu upo km mm!! tabia ya kununanuna mm siipendi bac tu.Mi huwa nashangaa mwanamume kununanuna tu kitu kidogo lenyewe linanuna.
  3. W

    Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    Daaah!! Zinc eee acha hizo bwana!! mbona kwenye kugegeda hukuomba ushauri kwa wadau? na ulipokuwa unamwagia mwenzio yale maji ya uhai ulitegemea nn? au ulidhani mchezo? we malizana nae km mlivyoanza bwana wacha kumzingua na akija jf hatumpotezei wala nn!! wacha kumnyanyasa bwana daaah wanaume...
  4. W

    Natafuta mke hasiyependa ngono

    Aiseee!! bado hajazaliwa huyo.
  5. W

    Mke wangu nimemchoka, nimeanza kutembea na mke wa rafiki yangu

    Bila matunzo hata huyo utamchoka!! yaonekana unapenda vya bure, ss we endelea tu na huyo mke wa rafiki yako ila ujiandae kufumuliwa hayo marinda yako!!
  6. W

    In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

    Sikushauri best.Baki njia kuu.Mchepuko co dili,fata mfano wangu.
  7. W

    In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

    Oa ss na wewe!!! kumbe jibu unalo ya nn kutaka ushauri? hovyoo.
  8. W

    In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

    Mm nimeolewa na wa kutoka mara ikiwa mm ni wa kusini ss alete hiyo mila yake ya kuoa wake wengi km hapajachimbika!! hivi huko si kuleteana magonjwa ndani na kudhalilisha wanawake?shemeji zangu badilikeni jamani!!! looh!
  9. W

    Kumbe Odama ni kicheche wa kimyakimya

    mmmmh! kabisa kidume hapo umechemka, loooh!!
  10. W

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Daaah ungevuta subira hadi saa sita na dakika moja.....waoo tungekuwa twins maskini.
  11. W

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Hata mm jamani yaani 25 May hakuna mwingine?
  12. W

    Natafuta marafiki wa kuchat nao

    Ww ni ke au me?
  13. W

    Mungu akamuuliza"unacheka nn".

    Mmmmh! Edwin m............!!! daa.
  14. W

    Dawa salama ya kudhibiti michepuko hatimaye yapatikana

    Pia hakuna kuzaa!! so ili uwe binadamu halisi lazima hayo mambo yote unayoyakwepa uyatimize na mwisho uzae km ulivyozaliwa kukwepa hayo ni kuhitimisha uzao wako
  15. W

    Dawa salama ya kudhibiti michepuko hatimaye yapatikana

    Litakuweza tu mkuu cose haliongei!utalifanya utakavyo, ila hatajua utamu wa asali yako cose halina uhai.
  16. W

    Dawa salama ya kudhibiti michepuko hatimaye yapatikana

    Mzalendo 91, binadamu ni binadamu tu! huwezi linganisha hiyo midoli na mwanamke wa kawaida, kabla ya hilo tendo kuna mambo mengi ya kufanya.Tendo ni hitimisho tu.Hebu fikiria eti kabla ya tendo unaliwekea milio unayotaka lilie! sa hapo kuna raha gani? mi naona ni sawa na kubaka! so mwanaume wa...
  17. W

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Thank God! nimefarijika cose ni mmojawapo kati ya waliokuombea usiku wa leo! Msikivu Tz ww mungu anakupenda sana sana, na kupitia kwako anataka ufanye jambo, amini amekupa hilo jaribu kubwa na umefanikiwa kiasi kikubwa sana kulishinda!!Ss basi naamini hiyo sehemu ndogo iliyobaki ya kusamehe na...
  18. W

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Asante baba.Ss nimejaribu Pm siwezi naomba ww uni pm kama hutajali.
  19. W

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Oooooooh!! maskini pole sana.Hapa panatakiwa wana saikolojia hasa.Na viongozi wa dini wanatakiwa hapa kumweka sawa kijana.Mm msaada wangu ni kumwombea tu kwa mungu ampunguzie msongo wa mawazo.Eti baba msikivu ww ni dini gani??Binafsi imenigusa sana.Wacha nijaribu Pm mana sijawahi itumia daaaaah...
Back
Top Bottom