Search results

  1. K

    Waliooa, naombeni msaada

    Ana mwingine huyo
  2. K

    Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

    Ukitaja Chama basi basi malizia Radhi za mpira ziwe juu yake
  3. K

    Hongereni mashabiki Chawa wa Simba kwa kuwapa makavu viongozi wetu

    Mimi nilipenda build up ya goli la simba dhidi ya ihefu nikajua simba inawachezaji wazuri shida hivi vitimu vinaikamia simba sababu ya bahasha
  4. K

    Yanga hongereni kwa mpira ule, nusu fainali ni yenu

    Tuna wapongeza yanga Ila Wakikuambia Yanga imeweka historia na haijawahi tokea. Waambie Je wanakumbuka ile historia ambayo haijawahi vunjwa ya simba kupigwa 4-0 ikapindua ugenini kwa 0-5 au wamesahau
  5. K

    Club Africain tofauti yake na KMC, Polisi Tanzania na Kagera ni jezi zao tu ila vyote vilivyobaki ni sawa

    Tuna wapongeza yanga Ila Wakikuambia Yanga imeweka historia na haijawahi tokea. Waambie Je wanakumbuka ile historia ambayo haijawahi vunjwa ya simba kupigwa 4-0 ikapindua ugenini kwa 0-5 au wamesahau
  6. K

    Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

    Tuna wapongeza yanga Ila Wakikuambia Yanga imeweka historia na haijawahi tokea. Waambie Je wanakumbuka ile historia ambayo haijawahi vunjwa ya simba kupigwa 4-0 ikapindua ugenini kwa 0-5 au wamesahau
  7. K

    Nimejiuliza kwanini Banda anaanzia benchi mechi nyingi

    Usichokijua simba wanakamiwa sana
  8. K

    Hivi Ajira ya Zimamoto itamlipa Majaliwa kuliko Uvuvi wake?

    Wekeni Vitendo acheni mbambamba Hivi kwanini Mkurugenzi wa jf asingeratibu namna Bora sisi kama JF kwa kutambua mchango wa kijana tukamchangia kumpongeza
  9. K

    Tuisila Kisinda amesemwa sana. Wazee wamesikia wameamua kumsaidia

    Mihogo ukitaka iwe mitamu ukifika ni maji na chumvi tu sihitaji mbwembwe na inakuwa tayari kuliwa na chai
  10. K

    Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Endeleeni kuedit utopolo Hii picha tabasamu ni lile lile mkawabadilisha nguo picha ni ileile ilipigwa muda huohuo angle tofauti na wahusika ni wale wale kwenye picha ya kwanza angalieni kwa makini uto mnadanganywa. Pia macho hayawezi yakawa yanaangalia sehemu moja tu kwenye picha ya kwanza na...
  11. K

    Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

    Yaani siku yanga kufungwa itakuwa balaa
  12. K

    Yanga wabaki Shirikisho ni faida kwa Simba

    Utopolo leo wanafanya supp na sio special na ujinga wa supp huwezi pata A au B ni C tu
  13. K

    Chukua hii hapa

    MMMP (MOSSES MFUNGA MAGOLI PHIRI aka jenerali
  14. K

    Kama Yanga SC ama itafungwa au hata kutoka Sare na Club Africaine Kesho, tayari Kocha Nabi ameshatoa Utetezi Leo

    Waliwekeza nguvu nyingi kwenye mechi ya simba maana ndio mafanikio yao wakasahau usiku wa deni haukawii kucha
  15. K

    TP Mazembe 8-0 Club Africain, tarehe 02 February 2019

    Utopoquine endeleeni kuota na kuvuta shuka wakati kumekucha
  16. K

    Club African watua, Yanga Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

    Kwikwikwi mtaliaa aah Kwikwikwi mwiko uingiapooo ooh Uto mtazunguuuka zungukaa Kesho mtazunguuka zunguuka yote kwa ajili ya mwikoo Na mwiko ulivyolong wakwangua makokoo Tsunami itanyesha kuharibu tandiko Kwikwikwi uto kesho mtaliaa Kwikwikwi uingiapo mwikooo ooh
Back
Top Bottom