Search results

  1. K

    Passport inachukua mda gani

    nina hitji passport naweza kuipata ndani ya week moja? na ni vitu gani muhimu vinaitajika n n shi ngapi #uhamiaji asante
  2. K

    Biashara ya matunda

    Habarini ndugu wanaJF wajasiriamali; Kuna sehemu nimeiona fursa ya biashara ya matunda na kiukweli nimeifanyia uchunguzi na kuona naweza kutokea hapo ningependa kufahamu yafuatayo kwa wazoefu wa biashara hii hasa katika mawazo; 1: Naweza kutumia frem (duka)kma sehm y kuuzia na inatakiwa iweje...
  3. K

    Nahitaji pikipiki used

    Mimi ni mkulima hapa Dodoma sehem ninahitaji pikipik ya kuhimili milima na makorongo makubwa yenye mchanga kwa ajili y kutembelea mashamba yangu. napendelea aina zufuatazo za pikpik baja 250, kawasaki250, ama yamaha td je hizi piki pik nazipataje za mtumba na zina range kwa bei gan na kuna...
  4. K

    Madini chuma

    Niko mkoani Dodoma kama mjasiliamali wa kilimo ila kuna fursa mbili nimezichungulia. 1:Blue kopa: tani moja hap wanauza laki 1 2:Madini chuma(mawe haya yana naswa na sumaku) Kwa yeyote ambay anafahamu soko la hizi bidhaa naomba mchango wako wa mawazo Pia kma tunaweza fanya kaz pamoja...
  5. K

    madini chuma

    kuna eneo nipo hpa dodoma kuna madini chuma mengi tu (mawe yanayo naswa na sumaku) soko lake naweza kupata wapi asanteni
Back
Top Bottom