Search results

  1. kipepeo mweusi

    Simuelewi huyu baba ana maana gani

    Habari zenu wana JF, let me go straight to the point. Huyu baba ni mtu mzima ambae sikatai alikuwa ananisaidia usafiri kipindi nikiwa naelekea chuo ambako nae ofisi zake zipo huko, ukiwa ndani ya gari yake anapenda sana kugusia kuhusu masomo, maisha, na kujichunga ukiwa kama kijana kuhusiana na...
  2. kipepeo mweusi

    Daah wana jf weekend imekuwa mbaya kwangu

    Leo asubuhi nilikuwa nna appointment na jamaa ambae nilikuwa nikisoma nae chuo mkoa flan, tangu wiki iliyopita alikuwa akinisisitiza leo 2meet daah!! c nikam visit...duuh kusema ukweli ckutegemea nilichokiona of course alitaka kunigegeda bahati nzuri niko period. Baada ya kushindwa kunigegeda...
Back
Top Bottom