Search results

  1. K

    Bonge la coincidence, Peter Greenberg naye yuko Kigali muda huu

    Labda nimsadie tu mleta mada, alicholenga kusema ni hivi... "Milima huwa haikutani lakini Wanadamu hukutana"...Si hilo tu jamani:-) Au?. Anyway, mimi nilikuwa napita tu hapa....baadae:-)
  2. K

    Anayejua kuhusu hili la RITA anisaidie tafadhali

    Jambo hili Ki sheria liko hivi: Kwa mujibu wa sheria za Tanzania za sasa mtoto wake anachostahiki ni kupatiwa Tanzanian passport tu (Na sio cheti cha kuzaliwa cha Tanzania). Na wakati wa ku apply hiyo passport wataitisha birth certificate ya Kenya na kumtia kwenye passport faili yako (kama Baba...
  3. K

    Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Naomba kuunga mkono hoja shehe wangu mia kwa mia:) Wala huna haja ya kumwaga Ma - Sura wala Ma - Aya... Tunajionea wenyewe yanajiri na kuendelea nchini kwa sasa. Disclaimer: Imani yangu haifungamani na dini yeyote.
  4. K

    Wankyo Nyigesa, RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi

    Maandiko matakatifu yanatushauri na kutuasa kuwa na "Na tunene kwa busara na hekima"....Na pale tunapojisikia kupungukiwa na vitu hivyo basi tunaaswa kuwa na "tukae kimya"......(yaani "Ukimya" unatosha) Napata wasiwasi na 'busara na hekima' ya kiongozi huyu mwenye njozi ya kuwa IGP......Hivi...
  5. K

    Angalizo kwa Mbowe baada ya kesi iliyokuwa inamkabili kufutwa

    Sikia, serikali ilisha azirika vibaya tu na kupata soni (haya). Katika harakati za kutafuta pa kutoke baada ya kuona imeshafanya blunder nzito ndio imeamua kujitoa kwenye kesi Ki aina kukwepa fedheha zaidi. Waswahili wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo "Chutama". Kwa maneno mengine serikali...
  6. K

    Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

    Kweli nimeamini sasa kuwa moja ya sifa ya kuteuliwa kuwa DC au RC ni kujua "kusoma na kuandika" tu basi ( Na si habari ya kufika sijui darasa la ngapi, diploma au degree kama wengine wanavyofikiri). Ubabe wa RC katika utekelezaji wa zoezi la kujenga madarasa kwa staili ya zimamoto linakiuka...
  7. K

    Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

    Ndugai bwana! Mtu mzima anayejitoa ufahamu na kuwa Mtu mzima hovyo? Hivi kweli hamjui ni nani anayecontrol matumizi ya serikali kwa sasa? Labda tungeanza kwa Muuliza kuwa hapo zamani za kale aliyekuwa ana control matumizi ya serikali ya awamu ya iliyopita (ya tano ) alikuwa nani? Asitake...
  8. K

    Royal Tour: Rais Samia asimama Jimbo la Kawe na kusikiliza wananchi kupitia Mbunge wao, Askofu Gwajima

    Mama anampiga kijembe cha haja "Gwajiboy" kwa kuuliza kwa kusanifu...."Kawe tunachanja ama hatuchanji"...naona Gwajiboy ameshikwa na kidaka...."Ana-smile" Ni hakika Moyoni ananajua mtihani huo:) teh teh teh...Anaikwepa kuijbu kistaaarabu kauli hiyo ya Mama anabakia kusema... "Mama watu wa Kawe...
  9. K

    Rais Samia: Mikopo ya Wahisani ina Riba kubwa

    Halafu ndo ingekuwa kweli ni Uchumi wa kati walau inge make a sense.....lakini sio uchumi wa kati ya "Ripoti za Ki-Nadharia" za kubumba:-)....Ni viini macho na ndio maana WaTanzania wanateseka sasa. Maana ukishaingia uchumi wa kati nchi inakuwa hai-qualify hata kufaidika na mipango kuinua...
  10. K

    Uongo mwingine wa Spika Ndugai kuhusu Yesu kwenda Yerusalemu

    Ndugai anahitaji kufanyiwa "Deliverance" ili aweze kumfamu bwana katika "Roho na Kweli"..hivyo msameheni tu huyu kiumbe (AKA - Mshauri wa Askofu:-)
  11. K

    Kampuni ya Marekani kununua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania

    Ni Afadhali Mmarekani angewekeza na kwenye kiwanda cha kubangua kwanza. Sasa viwanda vilivyopo uwezo wa kubangua ni tani 60,000 wakati uzalishaji ni zaidi ya tani 300,000. Hapo unaweza kuona shida ilipo
  12. K

    Ikulu Mawasiliano hawakuripoti taarifa ya safari ya Rais huko Zanzibar! Kulikoni..???

    "Chema chajiuza"..."Kibaya Chaji.....za" # Mtanikumbua#
  13. K

    Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Halafu unasikia ATCL inatengeza hasara za Mabillioni na Wa-Tanzania wanashangaa? Itatengeneza faidi saa ngapi wakati midege yenyewe inafanywa Uber na Ikulu badala ya kuchacharika kusafirisha abiria huku na huko. Ndege ya Rais ipo wameitupilia huko? YES, Kiongozi kama Papa hutumia ndege ya...
  14. K

    Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Khasara ama Msiba!...inna lillahi wa inallah-e-raji'oon #Mtanikumbuka#
  15. K

    Kodi mpya ya Majengo kupitia LUKU inatakiwa kulipwa na Mmiliki wa Jengo na sio Wapangaji wa Jengo

    Haya ndio matatizo ya serikali inapoendeshwa na wavivu wa kufikiri. Tazama hili zoezi na utaratibu mzima unavyo pwaya... "It's just a bizarre" and it doesn't make a sense completely........It looks like the Commander in Chief is on vacation and the country is on auto-pilot mode # Mtanikumbuka#
  16. K

    Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

    Museveni ni mmoja viongozi madalali barani Afrika. Nina hakika amesha cash out deal hili bila kujali maslahi na hata matakwa ya Waganda. Kwake yeye binafsi hii ni fursa.
  17. K

    #COVID19 Waziri Gwajima amteua Steve Nyerere kuwa Balozi wa Uviko-19

    Of course unalipwa kama vile vile ambavyo mtu unavyo chaguliwa kuwa mjumbe wa tume au kamati maalum ya uchunguzi wa jambo fulani hivi. Na hawa wanaweza kutengeneza pesa ndefu kwa ule mtindo unaolipa kwa posho au (Per Diem) wanapozunguka kwenye kampeni za kuelimisha na kutoa hamasa kwa umma...
  18. K

    Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Ukweli usiopingikika ni kuwa Mama amepima Upepo na ameshaona maono kuwa "Hatoshi". Na kwa mwenye uwelewa wa hali ya Kisiasa kwa sasa nchini analiewelewa hili dhahiri bila ya yeye kusema lolote.
  19. K

    Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

    Wa-Tanganyika wenzangu, kumbukeni kwamba nchi yetu kwa sasa iko chini ya Mtawala ambaye ni TX (Tanzania Expatriate) kutoka kule ni " Nchi ama si nchi". Iko hivi hana uchungu na nyinyi. Malalamiko yenu na shida zenu hazimnyimi yeye usingizi wala siyo vipaumbele vyake kama mnayotaka amielewe. BTW...
  20. K

    Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Rais na Waziri wake wote muflisi. Jambo hili au tozo hizi lilitakiwa kupimwa na Rais na Waziri wake kwanza iwapo ni jambo ambalo ni "practical" kwa Watanzania wa kawaida kabla halifikia utekelezaji. Na hapa ndio unaweza kuona kuwa Bunge ni dhaifu kiasi gani. Kwa maneno mengine Bunge...
Back
Top Bottom