Search results

  1. M

    Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia, umefeli sana sana sana, unajiwekea record mbaya sana, dalili zinaonyesha kuwa ukombozi wa Tanzania na hasa Tanganyika utakuja chini ya utawala wako. Huwezi ukaanza kufunga watu na kuwabambikizia kesi ukabaki salama, haiwezekani labda Mungu hayupo.
  2. M

    Wapinzani wa Tanzania Wanafurahia Asali, Wanaojitambua Kenya Wanailambisha Sakafu Serikali!

    Huwezi kulinganisha siasa za Tanzania na Kenya. Tamaduni zetu ni tofauti Sana. Tulikuzwa kwenye ujamaa, wenzetu kwenye ubepari. Wananchi TZ walilishwa uoga toka mwanzo wa Taifa, hilo limekuwa tatizo kubwa. Mara ngapi wapinzani wametoa wito wa kuandamana na wananchi wakagoma kutoka. Ni watanzania...
  3. M

    Uwazi na Ukweli': Mbowe awataje Viongozi wakuu wa Chadema wanaodai Yeye analamba asali Ikulu

    Kilicho nishangaza ni kuwa Mbowe alitumia nguvu kubwa mno kujitetea na kuwananga wanakosea amelamba asali. Ilitosha kuzungumza hilo kwa dakika tano na ikatotosha, lakini hilo lilichukua sehemu kubwa ya hotuba. Hilo linatuambia kuwa kuna kitu hakipo sawa.
  4. M

    Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

    Katika Biblia kuna wakati Nabii Samwel alikuwa anamwombea mfalme Saul, Mungu akamtokea na kumwambia kuwa wala asipoteze muda wake kumwombea kwa kuwa Mungu ameshamkataa. Hivyo ndivyo ulivyokuwa ama ingekuwa kwa Magufuli kama watu wangemwombea. Mungu alikwisha mkataa, huwezi kukiuka haki za wana...
  5. M

    Miezi mitatu nikiwa Jiji la Mbeya. CHADEMA na Sugu wasahau ubunge

    Jambo moja umesahau ama umefanya makusudi ni ukweli kuwa Mbeya mjini wakazi wake sio Wanyakyusa, lile ni eneo la Wasafa na Wanyakyusa wamefanya kukarinishwa tu. Huko Tukuyu na Kyela ndiko kwa Wanyakyusa. Kuhusu mgogoro hilo ni jambo la muda tu. Je ulifanikiwa kupima imani ya wananchi wa Mbeya...
  6. M

    Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Siku mkuchika atakapokufa ndio utakuwa mwisho wa utawala wa ccm. Huyu mzee nadhani ndiye anashikilia hirizi ya chama, mbona yeye panga pangua yumo tu.
  7. M

    ACT Maendeleo kabla ya kikao na msajili walihubiri katiba mpya baada ya kikao wanahubiri tume huru kulikoni?

    Labda nikuulize swali, Afica ya Kusini walipofikia makubaliano ya kuutokomeza ubaguzi wa rangi baada ya miaka mingi ya mapambano, ndani ya bunge lao kulikuwa na wanachama wangapi wa ANC? Hoja za ACT ni kama za vibaraka wa wakati huo. Shauku yao ni kuwa na uwakilishi bungeni hata kama ni kwa haramu.
  8. M

    Askofu Gwajima: Tanzania inashindwa kuendelea mbele kutokana na kutokuwa na muendelezo wa utawala mmoja kwenda mwingine

    Aliogopa kutaja umuhimu wa katiba mpya kwani hizo njozi zikiwekwa kwenye katiba hapatakuwa na mtu mwenye akili timamu (sio kama hayati JPM ama Ndugai) wa kuzipindisha.
  9. M

    Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

    Na hawajui kuwa huenda mama akaabadilisha kabisa baraza la mawaziri na kufuta kabisa nyayo za jiwe
  10. M

    Unaacha kujijenga zaidi, kutathmini ulikokosea na kukiinua zaidi Chama chako unakimbilia kumlaumu Rais Magufuli

    Hapakuwa na Uchaguzi Tanzania kwa hiyo kusema kura alizopata Lissu ama jiwe ni upuuzi mtupu.
  11. M

    Unaacha kujijenga zaidi, kutathmini ulikokosea na kukiinua zaidi Chama chako unakimbilia kumlaumu Rais Magufuli

    Yaani unakaa na kuota kuwa CDM kinaweza kuja kufa? Hii ni imani ndugu yangu. Hata viongozi wakilala tu CDM haifi. Ni suala la muda tu utasikia kimbunga chake. CCM wasifikiri kuwa wamemaliza mchezo.
  12. M

    Chonde Chonde CHADEMA, pelekeni wabunge bungeni. CCM wanajuta hata kuwapa hizo idadi ya kura iliyowafanya mpate nafasi 19

    Umerumwa wewe sio bure. Kwa mujibu wa CHADEMA hapakuwa na uchaguzi period
  13. M

    Uchaguzi 2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

    Damage aliyoifanya kwa JPM asingekuwa salama. Mungu amtangulie. Elimu tumepata, na ujasiri umeongezeka, muda si mrefu tutafikia ukombozi kamili.
  14. M

    Uchaguzi 2020 DC Ole Sabaya: Mungu ameiokoa Hai, ametupwa chini aliyewashtaki

    Hivi Biblia inatumiwa kwa dhihaka kiasi hiki? Ingekuwa enzi za agano la kale ardhi ingepasuka na wote hao wangefunikwa. Lakini sasa Neema ya Mungu ni nyingi mno. Mungu tunangalie na sisi Tanzania, ni lini tutaondokana na watu kama hawa?
  15. M

    Uchaguzi 2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

    Nakuumga mkono kwa asilimia zote. Haiwezekani kibaka mtaani akiiba achomwe moto halafu mtu akipora haki za watu aachwe akitamba mtaani. Mimi naona Bavicha ni vijana waoga sana. Kile walichofanya watu wa Lindi kilitakiwa kitokee nchi nzima ile siku ya tarehe 29. Magari ya serikali yachomwe moto...
  16. M

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Hilo halipo mwaka huu, wizi wowote utakabiliwa kwa nguvu nyingi sana. Huyo Magu ana roho mbaya mno sio mtu wa kubadilika, kwa hiyo ni lazima astaafishwe mwezi huu atake asitake.
  17. M

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Andika kiswahili tu binti, hii lugha ya wenyewe huiwezi na unatumia aibu kama Rais wako Magufuli
Back
Top Bottom