Search results

  1. PAPAA JIWE

    Ushauri jamani, nimeshaharibu sinunui tena vitu used

    Wachana na electronics zilizotumika. Nunua mpya mahala panapoeleweka.
  2. PAPAA JIWE

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii timu inaelekea njia ya Portsmouth
  3. PAPAA JIWE

    TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Pumzika Kwa Amani. Mwendo Umeumaliza, Imani umeilinda. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. PAPAA JIWE

    Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    Wakili Msomi Mwangomango, mwana maendeleo wa kweli, kijana mchapakazi, msomi, mtu mwenye misimamo, hakika wana Rungwe watakuwa wamepata mwakilishi wa kweli. Nitumie MB zangu kumshauri afikirie kuchukua fomu kama bado hajafikiria, wakati ni sasa. Naiona Rungwe mpya
  5. PAPAA JIWE

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumeanza vizuri
  6. PAPAA JIWE

    Akikutongoza kwa njia ya kuchat WhatsApp utafanyaje?

    Hahahah, ukitaka kuruka agana na nyonga.
  7. PAPAA JIWE

    Nataka kufanya biashara ya kuuza viatu vya mtumba

    Habari wadau? Naomba kupata ushauri na uzoefu kutoka kwenu. Ningependa kujua jinsi ya kuanzisha BIASHARA ya viatu vya mtumba (vya kike na vya kiume), mahala napoweza kupata viatu hivyo (kwa bei ya jumla), gharama ya kununulia na kuuzia, na faida pia. Pia ningependa kujua vibali navyotakiwa...
  8. PAPAA JIWE

    Wasanii waliovuma lakini wakashindwa kutengeneza pesa

    Komando Jide, Navy Kenzo, Jux
  9. PAPAA JIWE

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Dah, pigo kubwa hili hasa kipindi hiki ambacho "tunaunga unga mwana"
  10. PAPAA JIWE

    Sitokuja kuomba kazi tena UTUMISHI

    Unaweza ukaamua kujiajiri ukafanikiwa zaidi ingawa ushauri wangu kwako ni kuwa ukishindana kubali kushindwa. Wewe unaweza ukaona umefaulu sana lakini kumbuka sio kazi yako kusahihisha.
  11. PAPAA JIWE

    Biashara Gani hasa kipindi hiki cha awamu ya 5 inafaa

    Biashara yoyote halali kwa mujibu wa sheria za nchi
  12. PAPAA JIWE

    Baadhi ya magari ya RC DSM

    Inakusaidia nini?
  13. PAPAA JIWE

    CCM haiwezi kushinda uchaguzi 2020 kwa haki kamwe!

    Bado unaendelea na ndoto yako? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. PAPAA JIWE

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Pumzika Mahala Salama Kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. PAPAA JIWE

    Siri ya Mutungi na Lipumba yavuja

    Acha Kuandika Ujinga Sent using Jamii Forums mobile app
  16. PAPAA JIWE

    Perfume anazotangaza Haji Manara zitakuwa na Harufu Gani? Au ni dawa ya Mbu?

    Tumeshakusamehe, tunakuombea upone. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom