Search results

  1. L

    Maandamano kumtaka Dr. Slaa aseme kilicho myoni mwake

    Nakusudia kuanzisha maandamano ili kumtaka katibu mkuu wa chadema ajitokeze na kusema kilicho moyoni mwake.Mimi nimewaelewa sana kuhusu war stretegy wanayoitumia kushindana na ccm,lakini kwa nini wanavurugana?Nani tatizo,yeye,mbowe,kamati kuu ama mke wake kama wanavyodai?Hiki chama ni chama cha...
  2. L

    sababu ya ushindi ukawa

    "KWANINI CHADEMA WAMEMCHUKUA LOWASSA. Mnamo mwezi February mwaka huu Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) waliingia ubia na kampuni maarufu duniani inayojihusisha na tafiti za siasa (Political Research) ijulikanayo kama Greenberg Quinlan Rosner. ( www.gqrr.com/ ). UKAWA walitaka kujua...
  3. L

    Unataka kujenga lakini gharama ni kubwa?Huwapati wataalamu?ingia hapa

    Je unataka/una mpango wa kujenga nyumba ya gharama nafuu kwa kutumia vifaa vinavyopatikana hapa nchini na nje ya nchi?Je unahitaji nyumba ambayo baada ya kuijenga gharama za uendeshaji ikiwemo ankaa za umeme,maji na matengenezo hazitokuwepo kabisa ama kuwepo kwa kiwango kidogo?Je unahitaji...
  4. L

    Ujenzi unaofuata fikra mpya,kwa watu wa kipato cha kila namna

    Je unataka/una mpango wa kujenga nyumba ya gharama nafuu kwa kutumia vifaa vinavyopatikana hapa nchini na nje ya nchi?Je unahitaji nyumba ambayo baada ya kuijenga gharama za uendeshaji ikiwemo ankaa za umeme,maji na matengenezo hazitokuwepo kabisa ama kuwepo kwa kiwango kidogo?Je unahitaji...
  5. L

    Inahitajika sana Mianzi / Bamboo

    Wadau, Nahitaji kupata bamboo /mianzi ambayo imekomaa na eidha imekauka ama bado (ikiwa haijavunwa pia). Naomba kwa yeyote anayefahamu inapopatikana ama kama ni mkulima anijuze.
  6. L

    Bamboo/mianzi

    Wadau, Nahitaji kupata bamboo /mianzi ambayo imekomaa na eidha imekauka ama bado (ikiwa haijavunwa pia). Naomba kwa yeyote anayefahamu inapopatikana ama kama ni mkulima anijuze.
Back
Top Bottom