Search results

  1. SAYVILLE

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Karume pamekuwaje? Sijafika pale siku nyingi. Machinga wameingia hadi pale uwanjani? Inawezekana TFF wako mbioni kuhamia Kigamboni mazima
  2. SAYVILLE

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Kwani juzi juzi Yanga ilivyocheza Kirumba ilikuwaje? Watu wanacheza hadi kwenye barafu. Huo uwanja haufai kwa standard ya ligi kuu hata ukiwa mkavu ila kwa kuwa mlikaa kimya kipindi chote kabla hamjacheza, endeleeni kunyamaza
  3. SAYVILLE

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Umeniwahi kwenye jambo moja muhimu ulilosema hapa. Nadhani kabla ya yote, ili tutoke hapa tulipo neno "michezo" libadilishwe au litafutwe neno la ziada kutofautisha michezo ya kujiliwaza na michezo ya kulipwa, kama zamani walivyokuwa wanasema mpira wa ridhaa na mpira wa kulipwa, ingawa sasa...
  4. SAYVILLE

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Watakwambia hizo hatua za kuzingatia "quality of life" bado hatujazifikia. Watakwambia bado tuko hatua ya kusurvive na kuongeza mlo kutoka mmoja hadi miwili. Ndiyo maana mambo mengi yanayoharibu ustawi na quality ya maisha ya kila siku ya Watanzania yanafumbiwa macho kwa sababu kuna watu ambao...
  5. SAYVILLE

    Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

    Mimi ningekuwa na mamlaka nchi hii ningefanya yafuatayo: 1. Ningevirudisha serikalini viwanja vyote vya michezo vilivyochukuliwa na CCM 2. Ningeunda Taasisi ya kusimamia na kuboresha viwanja vyote vya michezo na vya wazi nchini. Viwanja vyote kuanzia vikubwa kama Mkapa, mashuleni hadi vya...
  6. SAYVILLE

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Ni kweli walikamia ila jana mlikuwa mpoteze ile mechi tena hata kwa goli 3 ila siku hizi mna kismati sana nyie na wachezaji wa Yanga wako tayari kufia uwanjani sijui huwa mnawaambia nini. Lile shuti la Ndemla sielewi lilishindwaje kuingia likapitiliza. Kuna shuti Bacca alilizuia kwa kichwa...
  7. SAYVILLE

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Nimecheki highlights, Aucho alitaka kumfanyia mwamba mmoja ule ubabe anaowaoneaga wengine, jamaa akusogeza hata unyayo akamnyooshea mikono juu akamuuliza unataka nini, wacha Aucho anywee kama siyo yeye aliyemkimbilia kama anataka kupigana
  8. SAYVILLE

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Tafsiri ya "kuruka ukuta" ni pana. Kutumia milango isiyo rasmi pia ni "kuruka ukuta". Unadhani Yanga pamoja na uCCM wao wote wanaweza kuvunja geti pale Mbweni?
  9. SAYVILLE

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Siyo kwamba hawajui faida zake, wanazijua sana jinsi sanaa na michezo vinaweza kuwainua wangapi. Shida ni wanaogopa maendeleo ya haraka yatakayoibua vijana wasioambilika, wasioamini wanahitaji kulipa fadhila kwa yeyote ambao watakataa kuwa machawa. Ndiyo maana kuna sekta kuanzia elimu hadi...
  10. SAYVILLE

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Mashindano yamekuja ghafla kuwaokoa kina Mangungu maana wanamzengo walishaanza kukunja sura. Au ni mbinu zaidi za kukutesa maana Azam watatuumbua
  11. SAYVILLE

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Hii ndiyo mechi nilikuwa nina uhakika Yanga atadondosha point maana hawezi kuruka ukuta kwenye kambi ya jeshi. Tena mshukuru tope lile limewabeba maana nyie ni wazee wa matopeni. Mahesabu yangu ya muda mrefu, Simba wangekaza wakashinda zile mechi zake za karibuni na ile derby ya juzi, baada ya...
  12. SAYVILLE

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Niliwahi kutoa ushauri Tanzania tuachane na mambo ya kuokoteza makocha kutoka kila pembe ya dunia, matokeo yake nchi inakosa dira au mfumo wa uchezaji ambao uko uniform. Nikashauri tuingie mkataba na Ujerumani, tukubali tuwe kama "koloni lao" kwa upande wa football. Watujengee mfumo kuanzia...
  13. SAYVILLE

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Ifanyie kazi, mgodi huo lazima ukutoe maana mahitaji yapo. Wewe jiamini anza, mimi niko busy sasa hivi, baada ya miezi 3 tuchekiane nione naweza kusaidia wapi. Nikishindwa kujiunga nitakusaidia hata kwa mawazo
  14. SAYVILLE

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Stick na mpira. Lisimamie mwenyewe, nenda kwenye klabu unayoshabikia ongea na viongozi. Anzia na mashabiki wa timu hiyo ni rahisi kupata hao watu 100-500 kama ni hizi Simba/Yanga. Halafu kisajili kama kikundi cha uhamasishaji na ushangiliaji katika michezo kisichofungamana na upande wowote...
  15. SAYVILLE

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Inawezekana hili umelisema kwa utani ila bonge la idea. Mkiwa kama 500 hivi ndiyo vibe litakuwa la kutosha ila kwa kuanzia 100 siyo mbaya
  16. SAYVILLE

    Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Mshukuru watu kama sisi siyo viongozi. Tungeulia mbali huo utani kama utani wenyewe umekuwa huu Eti full time 7-2
  17. SAYVILLE

    Benchikha hana meno hapo Simba, hajazoea mpira wa kubembelezana

    Kipimo cha kocha ni kipi?
  18. SAYVILLE

    Benchikha hana meno hapo Simba, hajazoea mpira wa kubembelezana

    Ndiyo inatakiwa hivyo
  19. SAYVILLE

    Benchika: wachezaji wa Simba ni wagumu sijawahi kuona, nisilaumiwe mimi

    Hayo mahojiano aliyosema hivyo yako wapi?
  20. SAYVILLE

    Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    keyword: ikiwa. Tangu msimu huu umeanza nionyeshe ni lini mlirefer matokeo ya aggregate na timu nyingine?
Back
Top Bottom