Search results

  1. E

    Pls "tigo"stop this stupidity

    i real hate jamani embu igeni ustarabu wa mitandao mingine wanavyofanya promosheni zao, tigo mpaka usiku mnatuma sms mnashtua watu na kusumbua please mimi sihitaji hiyo huduma yenu ila sms kila saa , hiyo huduma ndio ilinifanya nisingie na extrem mana ukujiunga tuu kosa sms kila mara
  2. E

    Mke wangu hanisikii

    kaa muelewane hapo kuna jambo
  3. E

    Kwa wanaooa mwanamke zaidi ya mmoja!!!!!!!!

    hapo wanaume wanakuwa mbogo, swali la pili nimelipenda sana kwamba wawe wanajiuliza especial wale wa kristo ambao ni mke mmoja mpaka kifo :A S 20:
  4. E

    Quattara aongoza ivory coast akiwa hotelini

    duu kweli viongozi wa afrika ni noma kwa ung'ang'anizi, sasa wakipewa mbona hawatekelezi, achia ngazi:redfaces:
  5. E

    SiRI YA KUDUMU KWA NDOA

    ya riyt na huo utafiti tena inaleta mashamsham kidogo kwenye mambo yetu kwa wale wana ndoa wenzangu
  6. E

    Wivu kwenye mapenzi huboresha au hubomoa penzi?

    wivu unaongeza penzi au unabomoa especially pale unapohisi kitu na kuanza kuona wivu bila ya kutafutia uhakika?
  7. E

    Kikwete kushuhudia matatizo ya wananchi miaka minne baadaye!

    ni fursa pekee kuexpress matatizo yetu live tena kwa umazi pia nasi tubadilike jamani cuz changes start by u first before the other do to you, mbona tunatupa taka kwenye mitaro ni serikali jamani? au kuachia vyoo mvua ikinyesha NI SERIKALI?
Back
Top Bottom