Search results

  1. BOMBAY

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Sipendagi hata kuona picha zake. Halafu ndio dogo nilikuwa unampenda sana na dam zetu zimeendana
  2. BOMBAY

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Kwa kweli sitakagi hata kuangalia picha zake... Inaniuma mpaka kesho, pia inenifanya kukata tamaa kabisa kuhusu ndugu, wajonba, mashangazi nk. Yani hawana habari
  3. BOMBAY

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Ni mwaka wa pili Sasa, yangu mdogo wangu wa dam kuto weka ktk mazingira ya kutatanisha
  4. BOMBAY

    INAUZWA Vitu vya nyumbani vinauzwa

    Mtungi kula 15
  5. BOMBAY

    Vitu vya ndani vinauzwa kwa bei nafuu

    Sio lazima mtu akupigie, weka maelezo yakutosha, unaishi dar sehem gani? Dar kubwa hii. Anyway hauna kisofa hata cha watu wawili pamoja na zulia
  6. BOMBAY

    Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Ukiona comment ya wanaume wanapingana na Hilo basi ujue tayari wameshaingia chaka.
  7. BOMBAY

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Halafu mchawi mwingine ni mtanzania mwenzako(supervisor). Muhindi anakupiga kwa kukulipa 5000 per day, halafu msimamizi wako nae anakupiga kwakukulipa 4000 au 4500 per day.Maisha ya viwandani ni magum sana hapa tz
  8. BOMBAY

    Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Last month yalinikuta hayo Ila kwakuwa born town walikimbia wenyewe
  9. BOMBAY

    Naweza kuanzisha biashara ya vifaa vya simu na umeme kwa mtaji wa Tsh 1.5M?

    Je Kuna haja ya kuwa mzoefu ktk hiyo biashara au mpaka uwe fundi?
  10. BOMBAY

    Kuna uwezekano mkubwa quran kikawa ni kitabu kilichokuwa na kila kitu

    Hii ndio sababu wazungu waliona kutuzuga tusijue kuhusu hiki kitabu na yaliomo ndani yake wakaamua kutuletea Bible. Hiki kitabu kimebeba Kila kitu kilichomo duniani cha siri na dhahiri.ni asilimia chache sana ya watu wanaokijua hiki kitabu Tena kwa uchache lakini mambo wanayoyafanya kupitia...
  11. BOMBAY

    Kuna siri gani kwenye noti ya 500

    Mkuu nahitaji noti moja ya 500
  12. BOMBAY

    Kuna siri gani kwenye noti ya 500

    Niuzie mkuu kama bado unayo
  13. BOMBAY

    Dark days 17/03/20...

    Nchi inamengi hii
  14. BOMBAY

    Unahitaji muuza duka la madawa ya binaadam?(pharmacy?

    Habari wa kuu,kuna mdada mwaminifu na mchapa kazi anatafuta kazi ya kuuza duka la madawa hapa Dar es salaam. Taalauma yake ni Nesi ila amekuwa akifanya kazi ktk maduka ya madawa kwa muda sasa.Kama unahitaji nicheki nikuunganishe nae!!! Ahsante
  15. BOMBAY

    Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

    Mkuu hebu nipe faida na hasara za hii Kazi kwa hapa Dar..Maeneo unatakiwa kutega abiria
  16. BOMBAY

    Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Pia wakristo hawapendi kuolewa na wakristo wenzao ndio maana hujirengesha kwa wanaume wa kiislam wakidai kuwa waislam wanajua kuhudumia mwanamke.
Back
Top Bottom