Search results

  1. N

    Mguu kwa mguu kujiengua kwa CHADEMA uchaguzi Serikali za Mitaa

    Kuhusu ofisi kufungwa viongozi pia hawakutoa Elimu
  2. N

    Jiji la Mbeya lashindwa kutengeneza barabara za mitaa viwanja vipya kwa zaidi ya miaka 8

    Nilinunua kiwanja Eneo la Mwakibete Mlima James mlima wa tatu toka mlima VETA karibu na Lyoto sekondari .Ni mwaka wa tatu sasa tangu ninunue ,lakini aliyeuza alipatiwa na jiji zaidi ya miaka 8.Nilipojaribu kuanza kujenga tu njia ambayo ilikuwa inatumika akajitokeza mtu mwenye kiwanja akaweka...
  3. N

    Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    soma sheria ya utumishi na mahusiano kazini uk 36 ibara 61 na pia uk 43 https://www.google.com/url?q=http://www.lrct.go.tz/download/translated-laws/kiswahili-vision/mahusiano.pdf&sa=U&ved=2ahUKEwic7qOJ293aAhUOYVAKHf3oDAAQFjAAegQIChAB&usg=AOvVaw0SAe29C9ZkVvf0Icl9PR1T
  4. N

    Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    hoja yangu ni kupunguza hilo nalitafakali ,fungua usome sheria hapa chini Kujiunga vyama vya wafanyakazi ni hiari au lazima kwa mujibu wa sheria ya kazi??
  5. N

    Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    hayo ni maneno ya mdomoni ya vyama vya wafanyakazi tafuta sheria isome vizuri
  6. N

    Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    Sheria ipo ila haimlazimishi mtu kuwa mwanachama kama wanavyofanya shart ujaze mkataba wa kuhiari,pili kama si mwanachama hutakiwi kukatwa bali unatakiwa kulatwa pale tu kunapokuwa kuna jambo ambalo wanalifanya kwa mwezi huo ambalo utanufaika nalo nakato hilo linaitwa duka la uwakala.
  7. N

    Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    Mfanyakazi ananyonywa yangepunguzwa wangekuwa na msaada kwa mtumisho,mimi kila mwezi nakatwa 20,000 sawa na mtungi mdogo wa gesi,umeme matumizi madogo elfu 9000 nabakia na chenji.Wenzangu mnakatwa ngapi na chama gani?na mambo gani wanafanyia kila mwezi,CWT ukifariki lambilambi 50,000/=
  8. N

    Mei Mosi miaka hii imepoteza mvuto imekaa kisiasa,ipo kama April mosi

    vyama vya wafanyakazi haviwasilishi shida za wafanyakazi.Waliomba Serikali kuhamia Dodoma Raisi alikubali palepale,Mei mosi ingine wakaomba kuunganisha mifuko ya jamii nalo palepale likakubaliwa.Kuunganisha mifuko kwa maoni kunaondoa ushi ndani,kuhamia Dodoma sijajua kama ndio shida ya...
  9. N

    Wenye elimu ndogo ndio wamekalia ofisi

    Tanzania wenye elimu ndogo ndio wamepewa fursa kuongoza wenye elimu kubwa. Hii inatokana na vyeo kupeana kwa kujuana, soma maliza madarasa yote kama huna anayekufahamu utaongozwa na mwenye ziro fomu 4. Huyu ndiye anayeamua upande cheo au la, nenda sekta zote za serikali. Ndio maana...
  10. N

    Wenye Elimu ndogo ,wanawaongoza wenye elimu kubwa Tz

    Nchi ya tanzania vyeo haviangalii elimu bali unajuana na nani mwenye wadhifa.Soma maliza madarasa yote utaongozwa na mwenye cheti.Iwe sekta ya Elimu ,Sayansi ya elimu ya juu,halimashauri nk.Mwenye cheti kakalia kiti ofisin,ndiye anayepanga mshahara wa Profesa
Back
Top Bottom