Search results

  1. O

    Nifanye nini hapa jamani ushauri wenu

    Nilizaa mtoto na mwanamke (miaka 10)iliyopita,kwa kipindi chote hicho kila mtu alikua na maisha yake na hatukua na mawasiliano mpaka mwaka huu nilipopata mawasiliano nakufanikiwa kumkomboa mwanangu ambaye yupo kwa wazazi wangu na aonasoma darasa 3.Yeye alikua anaishi na mwanaume ambaye amezaanae...
  2. O

    Msaada wenu wanajamii

    Kuna mzee wangu mmoja hajakwenda kwao kwa miaka 24 sasa yeye anaitwa ELIAS JULIASI MABELE MAGESA Anasema kwao ni Makutano Mazami wilaya Musoma vijini ye ni ukoa wa Mabele Nyalusao Mama ake anaitwa Mwajuma Nyalutila.Jinalake la utoto alikua anaitwa Mbogola.Mwanae wa kwanza anaitwa Swago.Mkewe...
  3. O

    Pikipiki aina ya chuma

    Ndugu zanguni wana Jf hasa jukwaa hili la bishara & uchumi. Naomba nisaidieni kwa anayejua uzuri na ubaya wa pikpik aina ya chuma kabla sija inunua. Natanguliza shukran zangu kwenu.
  4. O

    Msada jamani

    Habari ya asubuhi.Kwenu ma dactar mwanangu wa mwaka mmoja na nusu kanywa mafuta ya taa.
  5. O

    Msaada wenu madocta

    Mke wangu ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka 1na mwezi 1. Tatizo siku zake zinabadilikabadilika mfano mwezi uliopita alikwenda siku zake tarehe 22 na sasa leo tena ameanza kublidi nashindwa kupanga uzazi kwa kalenda (a)Je ndio ilekusema mama anayenyonyesha hashiki mimba (b)na kama...
  6. O

    Faida 5 za mwanamke kutoka nje ya ndoa

    Hizi ndio faida 5 za mwanamke kutoja nje ya ndoa(1)Atakua mbunifu kwenye mambo yetu yale(2)Mapenzi yataongezeka ili kukuzuga wewe(3)Gharama za matumizi kama saluni zitapungua(4)Mkeo hatakua na stress tena(5)Hatakusumbua wakati ukitoka kwa kimada wako.Hivyo muache mkeo atafute penzi jipya...
Back
Top Bottom