Search results

  1. Bikirembwe63

    CCM Zanzibar wakusanya maoni ya Muungano kwa staili mpya

    Katika hali ya kuchanganyikiwa leo CCM walipita katika soko la Mwanakwerekwe Z'bar na kuanza kuwauliza wafanyabiashara ndogo ndogo "unataka serikali ngapi?" wakipewa jibu ka Serikali 3 "huwauliza kukiwa na Serikali 3 jee hizi nyanya, vitunguu na viazi huku wanaita mbatata utavipata wapi?". Ama...
  2. Bikirembwe63

    Kuna kitu kinakosekana katika picha hizi mbili za nyaraka ya Muungano.

    Angalia picha ya mwanzo wakati waasisi wa Muungano wa Tz walipokuwa wanaweka saini mkataba wa Muungano. Na picha ya pili wakati wanakabidhiana nyaraka hizo. Jee hamuoni kuna kitu kimekosekana.
  3. Bikirembwe63

    Michango ya wachache katika bunge la katiba yahifadhiwe ili kuwahukumu wanaokusudia kuipeleka nchi y

    Nianze kwa kuwapongeza wajumbe wote wa Bunge la Katiba waliowakilisha maoni ya wachache,kwa umahiri wa hoja walizozitoa nakutuwakilisha tunaoitwa wachache ingawa tuwengi. Nashauri hapa ukumbini kuwa maoni yote ya wachache yarikodiwe na kutumiwa hapo baadae ili kuwaelimisha wananchi walio wengi...
  4. Bikirembwe63

    Kipi kisababishacho utendaji wa maovu katika jamii?

    Kila siku huwa najiuliza suala hilo hapo juu na sijafikia kupata jawabu sahihi. Katika jamii ya watanzania ambao wengi wao ni wauini wa dini mbili kubwa ambazo zinafundisha kuepuka utendaji wa maovu - kwa imani ya kuwa kuna maisha baada ya mauti na kuwa kila binadamu atahukumiwa kwa matendo...
Back
Top Bottom