Search results

  1. M

    Fursa katika biashara ya nafaka

    Come June this year, nataraji kuwa na likizo ndefu ambayo sehemu ya muda wa likizo natamani kutumia kutafuta fursa katika biashara ya nafaka. Kusafirisha nafaka kutoka Tanzania kwenda nchi jirani hasa Uganda, Sudani kusini au Burundi. Ni biashara ambayo naifatilia juujuu tu ila safari hii...
  2. M

    upendeleo kwa wanawake ni njia sahihi ya kuleta usawa na wanaume?

    mi siamini km kuna kitu mfume dume, nadhani ni fikra ambazo zimepandikizwa vichwani mwa watu, km hii hali ilikuwepo toka mwanzo basi niamini kuwa wanawake wamejiletea wenyewe kwani walionyesha kutokuwa na uwezo toka mwanzo, pointi ni kuwa kama ni ubunge au uwaziri basi mwanamke ni lazima aupate...
  3. M

    upendeleo kwa wanawake ni njia sahihi ya kuleta usawa na wanaume?

    leo hii ni kawaida kusikia wanawake wakipewa upendeleo maalumu katika vyeo vya kisiasa eti kwa minajili ya kuwa na usawa wa kijinsia katika uwakilishi,cha kujiuliza je hii ni njia sahihi ya kuwa na usawa wa kijinsia ktk uwakilishi?binafsi siamini kabisa katika mawazo haya, huwezi kumpa nguvu mtu...
  4. M

    Je kwa nini kusiwepo na Ukomo wa ubunge?

    waziri mkuu pinda alitoa hoja juu ya kuwepo na ukomo kwa wabunge kuwa na ukomo maalum wa vipindi vitatu tu.. ila cha ajabu wadau wengi walimpinga,hasa wengi wao wakiwa ni wabunge wanaotetea matumbo yao hasa waliofanya majimbo kuwa mali zao binafsi. binafsi hoja ya kuwepo na ukomo ktk ubunge na...
  5. M

    Ufaransa inatafuta nini Rwanda?

    Leo rais Sarkozy wa France yupo mjini Kigali, Rwanda...ila ni miaka michache tu iliyopita nchi hizi mbili zilivunja mahusiano yao ya kibalozi mpaka rais Kagame akasitisha matumizi ya lugha ya kifaransa kama lugha ya kufundishia Shuleni na vyuoni, na kama hiyo haitoshi pia akaanzisha mchakato wa...
Back
Top Bottom