Search results

  1. S

    Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

    unajua hawa wanaume hiyo ndo kazi yao, sasa wka kuliweka wazi hilo inabidi walifiche kdgo ndo maana wanasema wanawake .......yaani sidhani kama kuna mwanamke na kama wapo basi ni asilimia kama 3% hvi kati ya 100%. ndo huwa wanawanaume wa pembeni katika ndoa, ila wanaume ndo sijui mnaona ndo utajiri
  2. S

    Police Arusha wanatangaza mkutano wa CDM si halali

    jamani hebu tisomeni na hii habari pia........ hivi hawa polisi wameekwa kwa kulinda au?? http://www.mwananchi.co.tz/habari/3-habari-za-mikoani/7624-polisi-arusha-wawalazimisha-vijana-kufanya-mapenzi
  3. S

    Kallaghe kwenda UK Mlima kwenda Canada?

    hvi na Omar aliyekuwa mkuu wa chuo cha Diplomasia amepelekwa wapi? kwani naona kapelekwa mtu mwingine
  4. S

    hodi! hodi!

    asalam aleykum!
  5. S

    hodi! hodi!

    nilipita ndani bila ya kutoa salam
  6. S

    Kutoa hewa kwa wanandoa

    mimi sioni kama ni tatizo ila usipoachia utajikuta unavimba tumb, sasa ni afadhali uliachie uwe mzima au ufe kiafisa?
  7. S

    Methali mpya

    hii methali au msemo?
Back
Top Bottom