Search results

  1. tanganyikakwanza

    Kwa wajuaji wa Kiswahili

    sio mbuni ni air tanzania.
  2. tanganyikakwanza

    Ohoo! Mtumishi wa Mungu anaswa na mke wa mtu !

    joto la dar mnalijua au mnalisikia? mimi nilikuwa hapo bondeni guest katika shoping zangu dar nilikuja na mke wa rafiki yangu lakini ilipofika asubuhi tukajikuta kila mtu alilala kama alivyozaliwa na tumekumbatiana. cha muhimu tuombe mungu alete baridi dar.
  3. tanganyikakwanza

    Wanaume JF shtuka

    preta acha woga,hili ni jina kama mengine.
  4. tanganyikakwanza

    Wanaume JF shtuka

    mankam usiogope chupa au maandishi ogopa kilichowekwa ndani.
  5. tanganyikakwanza

    Wanaume JF shtuka

  6. tanganyikakwanza

    Tanzania Inawezekana Hii Kweli?

    kenya waadilifu sana lakini kwa tz haitakaa itokee.
  7. tanganyikakwanza

    Nyani aamua kumlea paka aliyetelekezwa

    huu urafiki una maslahi upande mmoja.
  8. tanganyikakwanza

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    kuna pesa ilitoka kule anjuan ambayo shimbo alikuja nayo,pia kuna mgao wa escrow kupitia stanbic na bado cha juu cha tril 1 ya bomba la gesi. una swali?
  9. tanganyikakwanza

    Ubovu wa huduma Benki ya NBC Arusha

    mimi imenichosha kabisa,atm pale philips ilimeza kadi yangu nikaenda pale nbc wakaniambia nirudi baada ya wiki nikawaambia nasafiri wakaniambia baada ya wiki kupita wataiharibu nikirudi nitoe elfu kumi nipatiwe nyingine. halafu benk yoyote unayoingia unakuta wastani wa umri ni 45 ujue ni majanga.
  10. tanganyikakwanza

    Hapa ni wapi? Atakayepatia vocha inamuhusu

    theki ni pm,kweli wewe umetembea sehem hizo.
  11. tanganyikakwanza

    Hapa ni wapi? Atakayepatia vocha inamuhusu

    asante kiongozi kwa kuikuza,naona hata picha yangu nimejiona vizuri.
  12. tanganyikakwanza

    Hapa ni wapi? Atakayepatia vocha inamuhusu

    ni zaidi bigurube.
  13. tanganyikakwanza

    Huyu yupo humu JF ila simtaji

    kwa nini honey?ni jina baba alinipa.
  14. tanganyikakwanza

    Huyu yupo humu JF ila simtaji

  15. tanganyikakwanza

    Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

    mimi nilishaacha hizo baada ya kutendwa miaka mitatu iliyopita nimesahau na sitapenda tena. sasa hivi nahangaika na watoto wangu nae ahangaike na maisha yake full stop. kwangu ukiingia unagongwa kila mtu apit hivi.
  16. tanganyikakwanza

    Cheki hii bili ya pombe

    Hiyo itakuwa bili ya mwisho nyingine nilishalipa mbona?
  17. tanganyikakwanza

    Kwa wale wanaoamini tu

    imani huvunja milima.
  18. tanganyikakwanza

    Nahitaji mkopo wa Tshs 2,500,000/=

    uko mji gani tufanye biashara?
Back
Top Bottom